Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Tatizo ulishaumbwa hivyo kutupenda sisi Wanaume, so endelea kujitekenya huku unacheka mwenyewe 7bu utazunguuuka weee hatimaye utarudia pale pale ulipoondokea...[emoji23]
Wewe ndo unazuga ila maandiko yapo yanajieleza nimekwambia niletee andiko hata moja linaloruhusu wanaume kuwasaliti wake zao au kuoa wake zaidi ya mmoja nipe japo andiko moja tu bila kutolea mifano ya wale mitume na manabii ambao walikuwa binadamu kama sisi na tena walikuja kutubu uzeeni
 
Sidhani Kama anapinga kuwa chini.
Kama umemsoma vizuri Edelyn ,ana uelewa mzuri sana wa Neno la Mungu na anaamini siku zote mwanamke yupo chini.

Mnaposhindana na Edelyn Ni sehemu moja,,hamtaki kukosolewa mnapokosea
Kwa sababu tu Ni mwanaume,Basi Wewe hutaki kuambiwa chochote
Exactly wewe umenielewa hata hawa unadhani hawaelewi basi? Wanaelewa sana ila basi tu wanapenda ligi.
 
Hatutaki kupigwa pingwa pasipokuwa na hoja za kimantiki
Hoja za kimatiki kama zipi? Labda nikwambie tu mwanaume anayestahili kuheshimiwa ni yule mwenye sifa hizi: mwenye mwanamke mmoja tu kama maandiko yanavyotanabaisha, mwenye mapenzi ya dhati kwa mkewe na kuyaonyesha, anayetimiza wajibu wake kwa mkewe na watoto na kusimamia nafasi yake kama mwanaume na mwenye kusikiliza mawazo ya mkewe na kumpa uhuru

Mwanaume mwenye sifa hizo tu ndo hatakiwi kupingwa na hata akikosea unaona kabisa ni bahati mbaya hivyo unamsamehe tu tofauti na hapa mwanaume utapingwa tu utake usitake maamuzi utakayoamua kuchukua ni juu yako ila ukweli lazima muambiwe siyo mnataka wanawake wakamilifu halafu nyie mna maovu kibao hayaelezeki
 
Hakuna sifa za mume mwema ila hakuna sehemu uliyoambiwa umpige, umsaliti, umnyanyase mkeo au uoe mke mwingine hata mkeo afanye kosa gani na kuna maandiko yanaonyesha jinsi gani mume anatakiwa awe

Halafu hilo andiko linalohusu wanandoa kuachana limetoa ruhusa kwa jinsia zote kwamba mume au mke asiachane na mkewe au mumewe kwa kosa lolote lile isipokuwa usaliti

Na pia mume ameambiwa ampende mkewe na mke ameambiwa amtii mumewe na vile vile wanandoa wote wameambiwa wasiwe wazinzi wala waasherati sasa nashangaa wewe unavyohalalisha wanaume kuchepuka wakati ni kinyume na maandiko

Yaani huwa nawashangaa sana wanaume mnapotaka wanawake ndo wafuate maandiko ila ninyi kuyafuata hamtaki na mnachagua yale yanayowafaidisha nyie tu basi yale mnayoona yanawabana hamyafuati
Hahaaa...hujakutana na Me wanaojitambua wakakunyoosha wewe ndiyomaana unatapa tapa tu hapa [emoji56]
 
Wewe ndo unazuga ila maandiko yapo yanajieleza nimekwambia niletee andiko hata moja linaloruhusu wanaume kuwasaliti wake zao au kuoa wake zaidi ya mmoja nipe japo andiko moja tu bila kutolea mifano ya wale mitume na manabii ambao walikuwa binadamu kama sisi na tena walikuja kutubu uzeeni
Me gani aliyemsaliti Mke wake bila ya Mke kuwa chanzo/7bu [emoji848]
 
[emoji16][emoji16][emoji16] atatokea mtu kubisha tu hapo.
Huyo tushamzoea labda kashaathirika sana kwa kutendwa au amegubikwa na pepo la ubishi kupitia ushetani wa "HAKI SAWA" so tumuombee tu ili abadilike taratibu Mzee Baba [emoji851]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sitegemei ku experience icho kitu.
Mwanaume wa kunipiga..hapana kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata baba yangu tu hajawahi kunipiga...

Kwa hiyo mkuu na nyie mkikosea tuwe tunawalamba vibao!??
Mbona mnatuonea Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wenzio wawili sijawaona hapa kwenye hii Mada[emoji23][emoji23][emoji23]wale team vipigo
Kama hutegemei kupigwa pia hutofanya makosa yanayofanya upigwe, cousin sis wangu babaake alikuwa anampiga sana shangazi. Very violent akilewa ila akiwa mzima mtu mmoja very caring.

Sasa yeye amekuwa na hio spirit hataki mwanaume wa kumpiga ila mwenyewe ni mpole vibaya mno hata kuongea sana hawezi. Nachekaga namwambia hutakaa upigwe ukiwa msikivu na mtulivu, ila ukijifanya jeuri kuchapa kidomo utafurahia show.

Amebahatika kupata mtanga wanaenda fresh tu. Hateseki wala hapigwi japo jamaa nae mtu wa vyupa.
 
Me gani aliyemsaliti Mke wake bila ya Mke kuwa chanzo/7bu [emoji848]
Wapo wanaume wanaosaliti wake zao bila sababu kwa kisingizio cha tamaa tu tena wanakiri kabisa kuwa wao hawata wapate wanawake wenye sifa zote nzuri bado watachepuka tu

Halafu pia kwanini makosa ya wake zenu yawe chanzo cha ninyi kuchepuka? Kwani ninyi hamfanyi makosa? Haya mnataka na nyie mkifanya makosa wake zenu wawafanye nini?
 
Huyo tushamzoea labda kashaathirika sana kwa kutendwa au amegubikwa na pepo la ubishi kupitia ushetani wa "HAKI SAWA" so tumuombee tu ili abadilike taratibu Mzee Baba [emoji851]
Ni maombi tu tumfanyie huyu binti jamaa yetu. She seems to have gone through many abusive relationships ambapo watu hawa appreciate wema wake. Ana chuki flani ya kisaikolojia.
 
Hoja za kimatiki kama zipi? Labda nikwambie tu mwanaume anayestahili kuheshimiwa ni yule mwenye sifa hizi: mwenye mwanamke mmoja tu kama maandiko yanavyotanabaisha, mwenye mapenzi ya dhati kwa mkewe na kuyaonyesha, anayetimiza wajibu wake kwa mkewe na watoto na kusimamia nafasi yake kama mwanaume na mwenye kusikiliza mawazo ya mkewe na kumpa uhuru

Mwanaume mwenye sifa hizo tu ndo hatakiwi kupingwa na hata akikosea unaona kabisa ni bahati mbaya hivyo unamsamehe tu tofauti na hapa mwanaume utapingwa tu utake usitake maamuzi utakayoamua kuchukua ni juu yako ila ukweli lazima muambiwe siyo mnataka wanawake wakamilifu halafu nyie mna maovu kibao hayaelezeki
Hapo penye uhuru ndipo huwa mnapojisahau na kutaka usawa kwa kujiona nanyi ni Me.

So kwa Me anayejitambua kama mimi siwezi kutupatia uhuru kupita kiasi ni lazima niwe nabadilika kila wakati ushindwe kunielewa vzr akili zangu ili uendelee kuongozwa na mimi kama kichwa cha familia bora.
 
Hahahaha sometime mnakua real sometime mnazingua ila fresh tutafika tu. Mi nasemaga sifa ya kuwa mwanaume tu inatosha sana kwa binti mwenye hekima kutambua mipaka yake, mwanaume anashauriwa haendeshwi jamani.

Tell your man mi naona hili ndio limekaa vyema zaidi tufanye hili, akiwa mbishi unamuacha akiyumba tu next time lazma arudi kwako kwanza aseme hapa tunafanyaje mke wangu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] simple as that.
Sasa ni wanaume wangapi wanafanya hivyo? Mnajua kabisa wapo wengi wasiofanya hivyo ila hao hamuwaambii kutwa kuhangaika na wanawake tu oh sijui wanawake acheni hiki fanyeni hiki huwa tunaona kama maovu ya wanaume wenzenu mnayafumbia macho vile ila ya kwetu ndo mnayaona
 
Wapo wanaume wanaosaliti wake zao bila sababu kwa kisingizio cha tamaa tu tena wanakiri kabisa kuwa wao hawata wapate wanawake wenye sifa zote nzuri bado watachepuka tu

Halafu pia kwanini makosa ya wake zenu yawe chanzo cha ninyi kuchepuka? Kwani ninyi hamfanyi makosa? Haya mnataka na nyie mkifanya makosa wake zenu wawafanye nini?
Ndiyomaana ktk kuumbwa kwetu wewe uliumbiwa upendo na Me tuliumbiwa tamaa.

Bila shaka Biblia inanena wazi kuwa "upendo wa kweli huvumilia wala hausabu hesabu mabaya na kutoa toa kasoro"

Nadhani hadi hapo utakuwa ushajua kuwa Ke ndiye anastahili awe mvumilivu sana kuliko Me 7bu ni yeye ndiye aliyeumbiwa elements za upendo wala siyo Me

So acha kushindana na asili yako 7bu utapata tabu sana [emoji3]
 
Back
Top Bottom