Acha kushindana na asili yako kiuumbaji ww Edelyn utapata tabu sana
Mwanaume kaumbwa na matamanio ya kuvutiwa na Mwanamke yeyote kiuzuri lkn Mwanamke kaumbwa na asili ya upendo toka rohoni, ndiyomaana Mungu alituasa tuwapende wake zetu kama tunavyojipenda sisi lkn hakuwaambia Wanawake 7bu tayari alishawaumbia upendo kiuhalisia.
So ukijilazimisha kuchepuka ndipo huhamia mazima 7bu huongozwa na hisia zako zote jumla jumla ndiyomaana hata Mungu alihalalisha Mwanaume kutoa talaka ikiwa Mwanamke atazini 7bu hataweza kujitawala akili akarudi tena ndani ya ndoa kumuheshimu Mumewe alivyokuwa anapaswa amuheshimu kabla hajachepuka.
Wanaume huwa wanaweza kuchepuka lkn akaendelea kuheshimu Wake zao kama kawaida na ndiyomaana Wanawake huhangaika kutafuta nguvu za giza ili kuwapumbaza akili wapende michepuko lkn mbali na hilo ikiwa Mke wa Mume aliyechepuka akijikabidhi vzr kwa Mungu kimaombi akidumu ktk sala na utii mwema bado hizo nguvu za giza zitachemka tu na kurudi ktk ndoa kuwa imara kama ilivyokuwa awali kabla hajachepuka.