Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ngoja niweke ushabiki pembeni nichangie Mada
Kauli mbovu za mwanamke Ni matokeo ya malezi ama maamuzi yake yeye mwenyewe tu kuwa jeuri.
Ila kwa mwanamke anayemjua Mungu vizuri hawezi kufanya huo ujeuri

Ni vema ukamchunguza vizuri mwanamke wako kabla hamjaingia katika ndoa
However unaweza kuibadili hii jeuri na kuwa adabu

Mwanaume km kichwa Cha familia anayo mamlaka ya kucontrol mwili wote Jinsi atakavyo

Muombe Mungu hekima na akili ya kuishi na mwanamke...na nature yetu Ni uongeaji

Wanawake tunapenda kuongozwa ,,mwanaume utakaposhindwa kumuongoza mwanamke wako,ukamuachia nafasi akutawale kwa namna yoyote ile Basi ujue umetafuta balaa mwenyewe

Akikosea Muonye kwa hekima
 
Hata akiwa boya...hupaswi kumtawala...ukifanya hivyo ndio unabomoa nyumba...maana mwanamke ni jengo ila mume ni msingi, jiulize bila msingi kuna jengo?. Neno la Mungu linasema.. " mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe"
Aliyekulea namtamani!! Hongera kwa kuwa mjuzi katika hii nyanja muhimu ya maisha
 
Hao wachache ndiyo wanaokula mema ya wake sasa.

Kuna limama flani hivi Mumewe alikopa 8,00,000/= kalifungulia Mkewe mradi wa TIGO PESA, M-PESA & AIRTEL MONEY.

baada ya miezi 6 hv, Jamaa aliuguliwa Mama Mzazi(Mama Mkwe kwa Mke) akaenda kumwomba Mkewe 50,000/= ili amtibie Mgonjwa na ndipo ndoa ilipovunjikia hapo hapo baada ya Mkewe kumjibu Mume pumba eti "Hata nami wazazi wangu wana shida kibao lkn siwasaidii hivyo basi sina hela ya kukupa" ilihali pesa ipo kibandani.

Me alienda home kujipamba aliporudi kibandani alibomoa kibanda na kichapo juu kuchukua pesa, kesi ilisuluhishwa na Wazazi wote wa pande 2 lkn Jamaa alitwanga talaka papo hapo.

Ke ni Mama wa nyumbani na Me ni Mtafutaji kwa jinsi Mungu alivyotuumba kiuhalisia kabisa.
Mwanaume mwenye kazi AU KIPATO chake anaweza kuishi na mwanamke asiye na kazi Kwa maisha yao yote... LAKINI MWANAMKE MWENYE KAZI AU KIPATO CHAKE KUISHI NA MWANAUME ASIYE NA KAZI MWEZI TU NI KWA MANENO MAGUMU SANA NA MWISHO HATAWEZA
 
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...

Kwa hiyo wanawake wasiyo na elimu kubwa wala pesa wao wanaume zao hawakutani Na changamoto za ndoa kuhusu wake zao?

Si pesa wala elimu kubwa ya mwanamke kwamba iwe sababu pekee ya kumfanya mwanamke kuto mtii mume wake!

Kuna wanawake wengi wenye pesa na wasomi hasa na wake wema na watii kwa waume zao.

Kama ni tofauti kujitokeza ndani ya ndoa ni kawaida mradi zisiwe na madhara.

Mwanamke kukosa utii kwa mumewe haitokani na kuwa na pesa au elimu kubwa pekee bali inasababishwa na sababu nyingi zikiwemo
- Malezi
- makuzi
- ukosefu wa Maisha ya Imani
- hulka
- mazingira

N.k

Sasa nikuulize

Wanawake wa makabila ya Mwambao wa Pwani mfano (baadhi) ambao wengi wao hawajasoma na wala hawana pesa,

Lakini takwimu zinaonesha ndo maeneo yanayoongoza kwa wanandoa kuachana (talaka nje nje),

Conclusion:

Mke kuwa mwema au Mpumbavu kwa mume wake na jamii kwa ujuma inachangiwa na mambo mengi na siyo kuwa na elimu kubwa au pesa pekee !
 
Wewe wasema [emoji87]
Kumbuka sample selection bias can occur kwenye hiyo random sampling.
Msipende kuconclude Mambo kwa sababu ya watu wachache.

Tabia njema au mbaya zipo kwa wanawake wote bila kujali ukanda waliopo au makabila yao.
Mimi sio mwanamke wa kichagga lakini nimeona niseme hili..maana mnawakandamiza mno bila sababu
 
Hao wachache ndiyo wanaokula mema ya wake sasa.

Kuna limama flani hivi Mumewe alikopa 8,00,000/= kalifungulia Mkewe mradi wa TIGO PESA, M-PESA & AIRTEL MONEY.

baada ya miezi 6 hv, Jamaa aliuguliwa Mama Mzazi(Mama Mkwe kwa Mke) akaenda kumwomba Mkewe 50,000/= ili amtibie Mgonjwa na ndipo ndoa ilipovunjikia hapo hapo baada ya Mkewe kumjibu Mume pumba eti "Hata nami wazazi wangu wana shida kibao lkn siwasaidii hivyo basi sina hela ya kukupa" ilihali pesa ipo kibandani.

Me alienda home kujipamba aliporudi kibandani alibomoa kibanda na kichapo juu kuchukua pesa, kesi ilisuluhishwa na Wazazi wote wa pande 2 lkn Jamaa alitwanga talaka papo hapo.

Ke ni Mama wa nyumbani na Me ni Mtafutaji kwa jinsi Mungu alivyotuumba kiuhalisia kabisa.
Mimi naona sababu kubwa ni hizi
1)Kukosa hofu ya Mungu, Kushindwa kumjua Mungu na maandiko yake ambayo ndio muongozo wa kuishi hapa duniani ni sababu moja wapo ya mwanamke kutokujitambua.
2)Ulimwengu wa utandawazi, kasi ya teknolojia hasa ktk mitandao ya kijamii kunachangia baadhi ya wanawake kuiga mambo ya uzungu na kutuletea shida.
3)Kipato, mwanamke mwenye kipato kikubwa iwe ana elimu ama la basi ni tatizo kubwa kwa upande wa mwanaume.
4)Mapokeo mabaya. Mwanaume unapotafuta mke achana na maigizo maana ukijakushindwa kuyaendeleza mnapokuwa ndani pamoja ndipo tatizo linapoanzia.muonyeshe mchumba wako mambo kwa uhalisia.
Hizo ni baadhi ya sababu.
 
Umewahi kuanzisha biashara ambayo unaona kabisa inalipa halafu usitake kujua nini kinaendelea kila wakati katika biashara yako. Ndicho wanachofanya wanawake.
 
Mabao ya maana meno yote yataanguka chini hadi mwanya utapotea na kubaki kibogoyo [emoji16]
Kwa makadirio Ni makofi mangapi!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Kuna mtu anaogopa tukofi kweli??
Sidhani km kweli Ni tukofi, hayo lazima yatakuwa mabao ya maana
 
At
Ukiona mwanamke amefikia hapo basi ni wewe mwanaume ndo umeyataka kwa kuyaruhusu hayo. Ni kielelezo tosha kuwa wewe mwanaume ni DHAIFU.

"Nyumba inaenda vema baba akiwa na kauli ya mwisho." Baba yangu alishawahi kunambia vivyo. Na pia wewe mwanaume ndo una jukumu la kumshape mwanamke wako, ajue unataka nini na unapenda nini. Si mpaka uwe ushamweka ndani!

Kimila zetu, wazazi wa mwanaume wakishabaini kuwa nyumba 'imekaliwa na mwanamke' hutowaona wakija kukutembelea hata siku moja hapo kwako!
kweli kbs nina ndg mmoja nimeshuhudia
 
Kabla ya ukoloni wazee wetu hawakuwa wakivaa vipedo, ma jeans , madela wala skin jeans. Pale tulipoanza kuwa na mahusiano na jamii za kimagharibi na zile za Mashariki ya kati. Jamii zetu zilianza kupokea tamaduni mpya. Ambazo zilipelekea mabadiliko mbalimbali kati jamii zetu.

Kitendo cha wakina mama kuwa na sauti kwenye nyumba zao ni matokeo ya muendelezo wa kupokea tamaduni za kimagharibi. Hivyo kwenye hili wa kulaumiwa ni sisi sote sio me pekee wala Ke pekee.

Mbona haujiulizi kwanini siku hizi kwenye miji mikubwa wanauza vyakula kama Pizza au burger.
 
Hakuna anayeyaogopa lkn yalitufunza vyema sana kimaadili kuliko matoto ya leo hii yasiyopigwa viboko yamekuwa matukutu kama nguruwe pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atapoteza meno?[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huo ubabe Sasa
Hivi na sisi siku tukiamua kuwapiga itakuwaje?
Najua Ni makofi ya maana,,maana makofi ya kawaida Hakuna anayeyaogopa..vipigo km vile vya shule tulivyokuwa tunaadhibiwa na walimu mbona Hakuna anayeogopa

Hayo mabao siyapatii picha..yatakuwa. Ya kijohn Cena kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom