Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Kabla ya ukoloni wazee wetu hawakuwa wakivaa vipedo, ma jeans , madela wala skin jeans. Pale tulipoanza kuwa na mahusiano na jamii za kimagharibi na zile za Mashariki ya kati. Jamii zetu zilianza kupokea tamaduni mpya. Ambazo zilipelekea mabadiliko mbalimbali kati jamii zetu.

Kitendo cha wakina mama kuwa na sauti kwenye nyumba zao ni matokeo ya muendelezo wa kupokea tamaduni za kimagharibi. Hivyo kwenye hili wa kulaumiwa ni sisi sote sio me pekee wala Ke pekee.

Mbona haujiulizi kwanini siku hizi kwenye miji mikubwa wanauza vyakula kama Pizza au burger.
"Kama mnanipenda mnapaswa muichukie dunia" Biblia ni dira bora sana kutuongoza ktk maisha bora.

Mungu anamaanisha tuchukie mambo ya kimataifa/kutokuiga iga mambo yanayomchukiza.

So kuiga iga tamaduni za ughaibuni kumeathiri sana Ke na Me ktk hiki kizazi chetu cha 21.

Upumbavu mwingine unaokua kwa kasi ss hv ni kutomshikia Mtoto kiboko akikosea, ktk hili namwomba sana Mungu aniongoze kwa hekima ili Mtoto wangu nimuonye kwa upole lkn akirudia kosa zaidi ya mara 2 au kutenda kosa kubwa hasa ambalo madhara yake yatakuja kumuweka pabaya ktk maisha yake ukubwani sitakuwa tayari kuvumilia huo upumbavu zaidi ya kumshikia vzr sana kiboko ili akili imkae vyema na kutambua nimechukia sana.
 
"Edelyn jeshi la Mtu m1" [emoji3] kaanzisha mada kutetea usawa ktk mahusiano naona anaendesha jukwaa pekeyake tangu jana.

Nimemnyanyulia mikono juu yule Mama kwa kujitetea yuko vzr sana na hakubali kushindwa kirahisi rahisi hata kidogo [emoji119][emoji16]
Nampenda....she is too logical
Na huwa anawajibu kwa akili na mpangilio
 
Mzee baba sijakataza kuoa watu wa kaskazini. Ila lazima tuambiane ukweli. Kama ww sio wa kaskazin lazima uisome Namba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masai wapo Ok. Aisee wa pambana na Mmeru wako. Sasa hiv si Dem wako, hayo makeke utayaonea wapi boss. Weka ndani kwanza hiyo mama ndo utajua
Mkuu... Unatupiga beat tusioe wa Kaskazini halafu unatushawishi Wanawake wa kuoa ni Wamasai tu! Swali langu, kwani Wamasai wanatokea wapi?

Katika hilo kundi naelewa kiundani matatizo ya Wanawake wa Kichaga kwa sababu nimeruka nao sana, hao binadamu ni kama mwanga kwenye kiza huwa huwajui kunichomolea japo mipango yetu huwa haifiki mbali, lakini ni Wanawake wanaonielewa sana!

Kuna wakati nilitaka kuingia kwenye pambano na mrembo wa Kimasai ila sikufanikiwa. Sasa hivi nipo na Mmeru, ila sijaona makeke yake.
 
Unajua utukutu Ni nature ya mtu.
Binafsi katika kukua kwangu kote sijawahi pigwa na baba yangu na sitegemei kupigwa...and he is so proud of me.

Watoto wengine wamepigwa na mzee na bado tabia mbovu ziko pale pale

Kipigo hakimbadilishi mwanamke.
Mwanamke km Ni mtukutu Ni mtukutu tu
Kujitambua kwake ndiko kutakakombadilisha

Vipigo vinapaswa viwe applied tu kwa watoto km biblia inavyoagiza
Wala sio wanawake
Baba yangu mkubwa kaoa Wanawake wa4 na kuzaa watoto 44 lkn kwa ukoloni aliokua nao watoto wote wamenyoka vzr kimaadili.

Watoto 12 waliobakia wamezaliwa baada ya umri kumtupa mikono(uzeeni) ambapo alikuwa amepungua makali yake kiukoloni na ndiyo watoto ambao karibia wote ni watukutu hadi yeye mwenyewe hukiri "haya matoto mapumbavu yashukuru yamezaliwa baada ya mimi kuzeeka lkn laiti ingekuwa ni zama zangu za ujana wote wangechezea vzr bakora na kukaa ktk reli ya maadili bora"

Mbona hawa watoto wasiopigwa ss hv ndiyo watukutu kuliko sisi ambao tulipigwa?

Mbona hawa Wanawake wasiopigwa hata makofi ndiyo wengi wao wamekubuu kwa ukeukwaji wa maadili hadi siku hizi ndoa imechukuliwa kama fasheni wala siyo maisha mema kwa kuvunjika vunjika mara kwa mara tena zingine hata baada ya miezi miwili tu ??? [emoji848][emoji87]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Meno yakidondoka chini walahi nalipiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Japo sitegemei kuexperience hii kitu.kwanza huwa sientertain ugomvi maana siwezi kushindana
Mungu akupiganie uendelee kujitambua ktk hilo Mama
 
"Edelyn jeshi la Mtu m1" [emoji3] kaanzisha mada kutetea usawa ktk mahusiano naona anaendesha jukwaa pekeyake tangu jana.

Nimemnyanyulia mikono juu yule Mama kwa kujitetea yuko vzr sana na hakubali kushindwa kirahisi rahisi hata kidogo [emoji119][emoji16]
Sijui kama uliisoma mada vizuri mada yangu ilikuwa inauuliza swali kwamba wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini? Sasa wanaume wengi badala ya kunijibu wanazunguka tu hadi tunajikuta tunaanzisha ligi wakati mimi nilikuwa nataka majibu tu basi
 
Baba yangu mkubwa kaoa Wanawake wa4 na kuzaa watoto 44 lkn kwa ukoloni aliokua nao watoto wote wamenyoka vzr kimaadili.

Watoto 12 waliobakia wamezaliwa baada ya umri kumtupa mikono(uzeeni) ambapo alikuwa amepungua makali yake kiukoloni na ndiyo watoto ambao karibia wote ni watukutu hadi yeye mwenyewe hukiri "haya matoto mapumbavu yashukuru yamezaliwa baada ya mimi kuzeeka lkn laiti ingekuwa ni zama zangu za ujana wote wangechezea vzr bakora na kukaa ktk reli ya maadili bora"

Mbona hawa watoto wasiopigwa ss hv ndiyo watukutu kuliko sisi ambao tulipigwa?

Mbona hawa Wanawake wasiopigwa hata makofi ndiyo wengi wao wamekubuu kwa ukeukwaji wa maadili hadi siku hizi ndoa imechukuliwa kama fasheni wala siyo maisha mema kwa kuvunjika vunjika mara kwa mara tena zingine hata baada ya miezi miwili tu ??? [emoji848][emoji87]
Mbona tupo watoto wenye tabia njema kwenye familia na Wala hatujapigwa!?
Tena tumezaliwa mwishoni mwishoni kabisa

Mbona wapo watoto wanaochakazwa kwa vipigo na Ni watukutu kupita kiasi

Mbona wapo mabinti wamelelewa maisha ya kufungiwa ndani wanalindwa km dhhabu..na tunawaona huku chuo jinsi dunia inayowaendesha..

Bwana asipoulinda mji.........
 
Baba yangu mkubwa kaoa Wanawake wa4 na kuzaa watoto 44 lkn kwa ukoloni aliokua nao watoto wote wamenyoka vzr kimaadili.

Watoto 12 waliobakia wamezaliwa baada ya umri kumtupa mikono(uzeeni) ambapo alikuwa amepungua makali yake kiukoloni na ndiyo watoto ambao karibia wote ni watukutu hadi yeye mwenyewe hukiri "haya matoto mapumbavu yashukuru yamezaliwa baada ya mimi kuzeeka lkn laiti ingekuwa ni zama zangu za ujana wote wangechezea vzr bakora na kukaa ktk reli ya maadili bora"

Mbona hawa watoto wasiopigwa ss hv ndiyo watukutu kuliko sisi ambao tulipigwa?

Mbona hawa Wanawake wasiopigwa hata makofi ndiyo wengi wao wamekubuu kwa ukeukwaji wa maadili hadi siku hizi ndoa imechukuliwa kama fasheni wala siyo maisha mema kwa kuvunjika vunjika mara kwa mara tena zingine hata baada ya miezi miwili tu ??? [emoji848][emoji87]
Mkuu wewe ukifanya kosa nani anakupiga? Ni kwamba wanaume hamfanyi makosa au makosa yenu huwa mnayachukulia ni ya kawaida?
 
Wanaume wa siku hizi wamekua wapuuzi sana. Hawajui majukumj yao. Wanachojua wao ni kuwa mwanaume ni kiongozi wa familia. Hajui hata maana ya uongozi. Wanadhani uongozi ni kusujidiwa na ndio mzee. Jua majukumu yako kama mwanaume wa familia na uongozi utakuja automatic.
 
Kwahiyo hata mwanamke akipata mwanaume mwenye sifa mbaya zinazoshabihiana na hizo na huyo mwanamke naye achepuke si ndiyo?
Acha kushindana na asili yako kiuumbaji ww Edelyn utapata tabu sana

Mwanaume kaumbwa na matamanio ya kuvutiwa na Mwanamke yeyote kiuzuri lkn Mwanamke kaumbwa na asili ya upendo toka rohoni, ndiyomaana Mungu alituasa tuwapende wake zetu kama tunavyojipenda sisi lkn hakuwaambia Wanawake 7bu tayari alishawaumbia upendo kiuhalisia.

So ukijilazimisha kuchepuka ndipo huhamia mazima 7bu huongozwa na hisia zako zote jumla jumla ndiyomaana hata Mungu alihalalisha Mwanaume kutoa talaka ikiwa Mwanamke atazini 7bu hataweza kujitawala akili akarudi tena ndani ya ndoa kumuheshimu Mumewe alivyokuwa anapaswa amuheshimu kabla hajachepuka.

Wanaume huwa wanaweza kuchepuka lkn akaendelea kuheshimu Wake zao kama kawaida na ndiyomaana Wanawake huhangaika kutafuta nguvu za giza ili kuwapumbaza akili wapende michepuko lkn mbali na hilo ikiwa Mke wa Mume aliyechepuka akijikabidhi vzr kwa Mungu kimaombi akidumu ktk sala na utii mwema bado hizo nguvu za giza zitachemka tu na kurudi ktk ndoa kuwa imara kama ilivyokuwa awali kabla hajachepuka.
 
Mwanaume mwenye kazi AU KIPATO chake anaweza kuishi na mwanamke asiye na kazi Kwa maisha yao yote... LAKINI MWANAMKE MWENYE KAZI AU KIPATO CHAKE KUISHI NA MWANAUME ASIYE NA KAZI MWEZI TU NI KWA MANENO MAGUMU SANA NA MWISHO HATAWEZA
Nyie ndo mnaokaribisha kukaliwa kichwani..Mimi ni msaidizi wako unaponipa majukumu ya ubaba kuhudumia familia na wewe lazima nikuendeshe...unakaa kusubiri nilete ule,nisomeshe watoto, kodi za pango, na yanayofanana na hayo...kwanini nisijitahidi kukudrive ili na wewe ukatafute? Umariooo ndo unaowafanya tuwakalie kichwani.
 
Upendo ninaouzungumzia mimi ni upendo wa kiasi la sivyo kupenda sana Binadamu kutamfanya ashindwe kupata hata muda wa kumuabudu Mungu na kujiendesha ktk kazi zake za kujitafutia riziki 7bu atakuwa anawaza Ke wakati wote tokana na kutawaliwa na hisia bila akili zake halisi/za kuzaliwa.

Mungu ametuagiza tuwe na kiasi ktk kila jambo na ni sehemu muhimu sana ktk ufahamu wa hekima kimaisha.

Nimemaliza.
Oohh basi kumbe hata mwanamke naye anatakiwa awe na kiasi katika kumtii mumewe? Na pia upendo unaozungumziwa hapo ni pamoja na mume kutokumsaliti na kutokumnyanyasa mke wake.
 
Back
Top Bottom