Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Wewe ukikosea unaadhibiwa na nani?Nilijua tu unaogopa stiki, we mi sikupigi maana unaogopa kupigwa which means hutatengeneza mazingira ya kupigwa hata siku moja.
Wanawake aina yako ni wale mume sura ikibadilika tu anaufyata na kujiwahi kuomba samahani na anakuwa mdogo gomvi linaisha chap.
Tabu iko kwa wale ambao mume akishachange anazidisha sauti ili uumie tu maana anajua akikujibu shit utaumia. Sasa sie wengine hizo kauli za tarabu huwa hatuzingoji ukileta fyoko ukaambiwa tulia ukaleta ubishi ujue utanyamazishwa na kelebu.