Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Ivi tatizo ni nini mpka iwee iviii

Lakini alwayz kila tatzo lina sababu so hata hili nahic kutakua na reason behind, wanaume wakue makini tu ktk mahsiano yao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hongera kubwa kama upo hivyo ila maneno yako unayotumia ndo yananiachana hoi huwaga naassume tu kuwa una lafudhi ya kichaga halafu ndo unaongea hivyo najikutaga nacheka tu sasa sijui una lafudhi ya kichaga kweli sijui unaongea kawaida tu
hahahah you are dead wrong, accent yangu hata haiko uko. Huwez kunijua ni wa wapi maana nabadilishaga kulingana na mtu naeongea nae.

Ila napenda sana mtt wa kike afurahi hasa akiwa anaongea na mimi kuna namna pia.😁😁😁😁
 
Upole hauhusiani kabisa na tabia nzuri ktk ndoa 7bu kuna jike lingine linatumia ujinga mwingi wa makosa mara kwa mara likijificha ktk huo upole kama usengenyaji, uchawi, kuchukia ndugu, wizi, uchafu, ukahaba, msiri sana, kisirani cha chini chini, uvivu na mengine kibao japo haliwezi kujibizana na Mumewe papo kwa hapo.
Basi mimi sijamaanisha hayo
 
Hao tumewaweka kwenye Novena maalum. Watabadilika tu mtumishi[emoji16]
Sasa kwani siku zote hizo tulizokuwa tunabishana mlikuwa wapi kuongea haya yote? Seriously mjue leo ndo nimeona mmeenda direct na nimeanza kuwaelewa kuwa kumbe hatutofautiani sana mawazo ila basi tu mlikuwa mnataka tuendeleze ligi zisizo na maana
 
tutafika tu, hamna kucheka na nyani[emoji3][emoji3][emoji3] mtu akiwa mstaarabu tunaenda sawa ila akijitia nunda kuna namna ya ku deal nae.
Au siyo? Ukicheka na nyani unatavuna mabua eti?
 
Kabisa mkuu. Halafu ni 90% ya wanawake wote siku hizi,wamemezeshwa hiyo tabia. Na ndio kinachopelekea ndoa nyingi kuvunjika siku hizi. Halafu wanataka kutawala wakati hawajui hata kutafuta hela.
Mwanamke anayetawala ni yule anayetafuta hela na kufanya majukumu ya mwanaume na huyo ni haki yake maana uanaume siyo nafasi tu bali pia ni kutimiza wajibu na majukumu ukiona mwanamke hafanyi majukumu ya mwanaume halafu anataka kutawala ujue huyo ni special case

Na wapo wachache sana wa hivyo fuatilia ndoa nyingi ambazo mwanamke hana heshima kwa mumewe utagundua ni zile ndoa ambazo mwanamke anasaidia majukumu ya mumewe nusu kwa nusu yaani pasu kwa pasu kitu ambacho siyo sahihi na hakitakiwi
 
hahahah you are dead wrong, accent yangu hata haiko uko. Huwez kunijua ni wa wapi maana nabadilishaga kulingana na mtu naeongea nae.

Ila napenda sana mtt wa kike afurahi hasa akiwa anaongea na mimi kuna namna pia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo wewe siyo mtu wa Kilimanjaro? Ila hata hivyo kuna swaga fulani kwenye uandishi wako unaziweka huwa nahisi labda una accent ya kawaida tu na siyo ya kichaga ila sawa kama kweli unapenda mwanamke wako afurahi
 
Mwanamke anayetawala ni yule anayetafuta hela na kufanya majukumu ya mwanaume na huyo ni haki yake maana uanaume siyo nafasi tu bali pia ni kutimiza wajibu na majukumu ukiona mwanamke hafanyi majukumu ya mwanaume halafu anataka kutawala ujue huyo ni special case

Na wapo wachache sana wa hivyo fuatilia ndoa nyingi ambazo mwanamke hana heshima kwa mumewe utagundua ni zile ndoa ambazo mwanamke anasaidia majukumu ya mumewe nusu kwa nusu yaani pasu kwa pasu kitu ambacho siyo sahihi na hakitakiwi
Unasemaje siyo sawa wakati ni huyo mwanaume amekuruhusu kufanyakazi ama biashara!?? Pengine nimekuoa ukiwa hujui lolote kuhusu biashara,nimekujengea uwezo hadi nikakufungulia biashara,biashara yako ikakua pengine kuliko ya kwangu Sababu ya majukumu. Tumekubaliana tusadiane kuchangia gharama za nyumbani,km vile chakula,maradhi,ada nk. Kwa nn ujione ww hustahili kufanya hayo wakati tunajenga Nyumba moja!??
 
Back
Top Bottom