Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,688
- 8,274
Ule msala ulioniachia ndio kama huo mkuu,mtu anakuja kihivyo mkuu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unasemaje siyo sawa wakati ni huyo mwanaume amekuruhusu kufanyakazi ama biashara!?? Pengine nimekuoa ukiwa hujui lolote kuhusu biashara,nimekujengea uwezo hadi nikakufungulia biashara,biashara yako ikakua pengine kuliko ya kwangu Sababu ya majukumu. Tumekubaliana tusadiane kuchangia gharama za nyumbani,km vile chakula,maradhi,ada nk. Kwa nn ujione ww hustahili kufanya hayo wakati tunajenga Nyumba moja!??