Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Kiuhalisia wanawake wa sasa wameiharibu kabisa dunia. Wengi wameacha asili,wanataka kuishi kwenye ndoa maisha ya hizi tamthilia wanazoangalia. Ndoa zamani zilidumu ksbb kulikuwa hakuna mambo haya tamthilia za kudanganyana. Wanawake siku hizi wangefuata tu vizuri desturi zetu wangefaidi sana,maana wanaume siku hizi hawapigi kama zamani. Desturi zetu mwanamke ni pambo la nyumba,aache perepeteeee nyiiiingi,amuache mwanaume atafute maisha,kama yeye nae anasaidia hilo isimfanye kutaka kujiona yeye ndio kichwa cha nyumba. Wapo wanaume wakimya akiona mwanamke wa hizo nyiiiingi,anaaanza kufanya mengine kimya kimya,ndio mwanzo wa ndoa kuvunjika
 
Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,

Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji

Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Ukiona ivyo mwanaume mwenyewe huielewi
 
Wapo wanaowaoa. Si kwamba eti wanakimbia. Wanaume tumetofautian maono.. wapo wanaoamini ktk ubabe.. wengine wanapenda wapenz wa kubebishana..
Hawa wakibabe wapo na wanaoa..mwanamke akizingua ni makofi kama kawa..
Afu hata ninyi wengi wenu ss hv huwa mnawakimbia hamuwaoi km iliyokuwa huko nyuma, bila shaka mtakuwa mshauona upepo wao ulivyo hasi ktk ndoa
 
Wanaume wenyewe mmesahau kutunyoosha..hamtugombezi kutuwashia moto hta vibao viwili hamtuwashi kutukumbusha nyie ni nani..ndio hivyo uzembe wenu.pambaneni
 
Na pia vimeandika "mwanaume ampende mkewe" je wanaume wa siku hizi wanawapenda wake zao? Upendo unaomaanishwa hapo ni pamoja na kutowasaliti wake zao sasa ni wanaume wangapi leo hii hawawasiliti wake zao? Ni wachache mno na hao ndo wanastahili kuheshimiwa na wake zao

Ila wengine wote hawastahili kuheshimiwa tena zaidi wanastahili kutukanwa kabisa maana hata wao hawajiheshimu sasa wanaume endeleeni na kamsemo kenu hako eti "hakuna mwanaume asiyechepuka" sijui "mwanaume kuchepuka ni kawaida" wakati maandiko yapo na yanaeleweka
Mitume wa mwenyezi Mungu walioa wanawake zaidi ya mmoja itakuwa sisi binadamu.,sijui kwa wengine ila kwa waislam tumeruhusiwa kuwa na wanawake mpaka wanne.
 
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Donatila, unastaili heshima ya mke mwema kwa ufahamu mkubwa ulionao juu ya neno la MUNGU. Wanawake wengi hawana muda wa kusoma neno la MUNGU ambalo kwao ndiyo taa au nuru kwa maisha yao yote kabla ya kumpata wa kumuoa na akishakuwa amekuwa mke. Hakika mume ni kichwa cha familia awe na kazi au asiwe na kazi, awe na pesa au asiwe na pesa. Na mke mwema ni lazima atasimama na mumewe vizuri kuhakikisha familia inakuwa bora, siyo kung'ang'ania kumtawala mume.
 
Ukioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Umejuaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ila sometimes wanaume tunakosea pia. Unatakiwa uanze kumkunja mwanamke tangu mkiwa kwenye uchumba, hakikisha haupotezi hata point moja. Ukimzoeza tofauti wakati wa uchumba lazima akupande kichwani.

Kuna jamaa yangu nilitaka kumzaba kofi. Eti mke wake anamfokea zaidi ya mara tatu mbele yangu, na kalimchenjia haswa na mwanaume alinywea kichizi. Pale familia haiwezi kwenda.

Ndoa nyingi zenye maisha mazuri lazima mwanamke ashuke chini na mwanaume awe muelewa pindi mke anaposhuka chini. Na pia mwanaume hafokewi hata kama makosa ni yake.
Hahaha ungemzaba tu
 
Hahaha ungemzaba tu
Pale nilikausha ila nikaja gundua kwamba yule ndio dem wake wa kwanza na ndio akamconvert kuwa mke. Mda wote alikuwa busy mpaka anafika chuo hajui mapenzi. Basi nikawaza kwamba pengine hata ndumba imehusika.

Nikaachana na mpango wa kutoa ushauri.
 
Write your reply...
kama mkeo mpo kwenye ugomvi
anapiga kelele,anarusha vitu hovyo hovyo.
msogelee mnong'oneze sikioni, mwambie.
bebi haya mambo wanafanyaga wazungu "nitakupiga nikuue"
 
Mitume wa mwenyezi Mungu walioa wanawake zaidi ya mmoja itakuwa sisi binadamu.,sijui kwa wengine ila kwa waislam tumeruhusiwa kuwa na wanawake mpaka wanne.
Mlioruhusiwa wanne oeni wanne ila kwa wakristo kuna maandiko yanayotaka mwanaume awe na mke mmoja tu na mwanamke awe na mume mmoja tu sababu maisha ya mitume siyo mifano bali yale waliyoyahubiri ndo mifano

Na hao hao mitume unaowasemea waliua na Mungu bado aliwabariki kwahiyo tukisema tuige matendo ya mitume kwa sababu walikuwa ni wa Mungu utasema kwamba kuua siyo dhambi kwa sababu tu mitume waliua?
 
Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
roho ya umalaya huo

Mungu apendi kabisa watu kuwa huru kuachana na kuanzisha mapenzi kila siku
 
Siku hizi hatuishi na wake, tunaishi na Mashetani ndani. Ila mie nilishamuapia akizingua siwezi ozea jela, ila nitahama nchi niishi huru. Na nitaondoka saa asiyodhani wala kujua
 
Back
Top Bottom