Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,432
- 191,751
Ni hali ya hewa tu, shida ni generalizing matters. Ukitaka kuchukulia wote ni waovu hapo ndipo mwisho haupatikanagi kirahisi. Assume wema pia wapo
Sasa kwani siku zote hizo tulizokuwa tunabishana mlikuwa wapi kuongea haya yote? Seriously mjue leo ndo nimeona mmeenda direct na nimeanza kuwaelewa kuwa kumbe hatutofautiani sana mawazo ila basi tu mlikuwa mnataka tuendeleze ligi zisizo na maana