Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

Unajua utukutu Ni nature ya mtu.
Binafsi katika kukua kwangu kote sijawahi pigwa na baba yangu na sitegemei kupigwa...and he is so proud of me.

Watoto wengine wamepigwa na mzee na bado tabia mbovu ziko pale pale

Kipigo hakimbadilishi mwanamke.
Mwanamke km Ni mtukutu Ni mtukutu tu
Kujitambua kwake ndiko kutakakombadilisha

Vipigo vinapaswa viwe applied tu kwa watoto km biblia inavyoagiza
Wala sio wanawake
Nilijua tu unaogopa stiki, we mi sikupigi maana unaogopa kupigwa which means hutatengeneza mazingira ya kupigwa hata siku moja.
Wanawake aina yako ni wale mume sura ikibadilika tu anaufyata na kujiwahi kuomba samahani na anakuwa mdogo gomvi linaisha chap.

Tabu iko kwa wale ambao mume akishachange anazidisha sauti ili uumie tu maana anajua akikujibu shit utaumia. Sasa sie wengine hizo kauli za tarabu huwa hatuzingoji ukileta fyoko ukaambiwa tulia ukaleta ubishi ujue utanyamazishwa na kelebu.
 
Ni maombi tu tumfanyie huyu binti jamaa yetu. She seems to have gone through many abusive relationships ambapo watu hawa appreciate wema wake. Ana chuki flani ya kisaikolojia.

Hivi abusive relationship ni ipi? Manake kuna mahali unaongelea kutandaza vipigo hatari...hizo ni relationship pendwa bado?
 
Extrovert alishakueleza 7bu ni ninyi wenyewe, hata ktk ule mfano unanena wazi kuwa kamwe hakuna Mwanamke anayeweza kuwa na mabwana wawili 7bu atampenda huyu na kumchukia yule, hujiulizi kwanini huo mfano haukumuhusu Mwanaume?

Ktk Biblia Suleiman anaonekana kuwa na Wanawake 700 na Masuria/Vimwana 300, wapi walipoonesha Mwanamke aliyefanikiwa kuwa na mahusiano zaidi ya Mwanaume m1?

Acha kushindana na asili yako 7bu utapata tabu sana Mama [emoji1787]
Jamani eh maandiko yanasema kila mwanaume na awe na mke wake mwenyewe na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe na maandiko hayo hayo yanasema pia ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi wazinzi na waasherati Mungi atawahukumia adhabu

Haya ukisoma hapo ni wapi panaonyesha kuwa mwanaume achepuke na mwanamke asichepuke? Tunajua kuwa wanawake tuliumbiwa kuwa na mwanaume mmoja ila hiyo haiwapi guarantee wanaume kuwa na wanawake wengi

Na hiyo siyo sababu ya ninyi kuwa na wanawake wengi sababu Mungu alishakataza yaani kwa kifupi mwanaume mwenye wanawake wengi na mwanamke mwenyewe wanaume wengi hawana tofauti wote wana dhambi mbele za Mungu

Yaani nyie ongeeni mnayotaka ila neno la Mungu halibadiliki liko pale pale mwanaume mzinzi na muasherati atahukumiwa sawa kabisa na mwanamke mzinzi na muasherati refer kwenye hayo maandiko niliyokuwa hapo juu
 
Kama hutegemei kupigwa pia hutofanya makosa yanayofanya upigwe, cousin sis wangu babaake alikuwa anampiga sana shangazi. Very violent akilewa ila akiwa mzima mtu mmoja very caring.

Sasa yeye amekuwa na hio spirit hataki mwanaume wa kumpiga ila mwenyewe ni mpole vibaya mno hata kuongea sana hawezi. Nachekaga namwambia hutakaa upigwe ukiwa msikivu na mtulivu, ila ukijifanya jeuri kuchapa kidomo utafurahia show.

Amebahatika kupata mtanga wanaenda fresh tu. Hateseki wala hapigwi japo jamaa nae mtu wa vyupa.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Hapo kwenye vyupa pia Ni changamoto
 
Kweli lkn wewe ni mbavu yangu 1 tu sababu ulitokana na mimi lkn mimi niliumbwa na Mungu, so usishindane na kiumbe kilichouona mwanzo kabla yako Bibiye [emoji851]
Kumbe unajua kuwa ubavu wa mwanaume ulitumika kumuumba mwanamke mmoja tu na siyo zaidi? Hiyo inamaanisha nini? Kwamba mwanaume ni wa mwanamke mmoja tu na si zaidi basi tulia na mwanamke wako mmoja tu na hatashindana na wewe ukitaka kula vya watu na vyako lazima vitaliwa tu karma is always a bitch
 
Nilijua tu unaogopa stiki, we mi sikupigi maana unaogopa kupigwa which means hutatengeneza mazingira ya kupigwa hata siku moja.
Wanawake aina yako ni wale mume sura ikibadilika tu anaufyata na kujiwahi kuomba samahani na anakuwa mdogo gomvi linaisha chap.

Tabu iko kwa wale ambao mume akishachange anazidisha sauti ili uumie tu maana anajua akikujibu shit utaumia. Sasa sie wengine hizo kauli za tarabu huwa hatuzingoji ukileta fyoko ukaambiwa tulia ukaleta ubishi ujue utanyamazishwa na kelebu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipigo nakiogopa Sana na Sina tabia za utukutu wala kushindana

Unadhani ukimpiga atabadiika!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Ktk kuishi nanyi kwa akili" 7bu hekima haizingatii upole tu ndiyomaana Baba wa hekima "Suleiman" alitoa amri ya Mtoto kuuwawa kwa upanga aliyekuwa anang'ang'aniwa na Wanawake wawili.

Unadhani alipenda kutumia ukoloni wa namna hiyo nakati alikuwa akijua vzr kabisa kuwa kuua ni dhambi mbele za Mungu [emoji848]
Kuna tofauti kati ya kutumia akili na kutumia nguvu Mungu alisema muishi na sisi kwa akili na siyo kwa nguvu sasa kwa kutumia logic ya kawaida tu kupiga ni kutumia nguvu na siyo akili kitu ambacho hamjaambiwa
 
Hahaaa...hujakutana na Me wanaojitambua wakakunyoosha wewe ndiyomaana unatapa tapa tu hapa [emoji56]
Wanaojitambua ndo wepi? Na kuninyoosha kivipi? Kwenu nyie wanaume kwenda kinyume na maandiko ndo kujitambua ila wanawake kwenda kinyume na maandiko ndo kutokujitambua?
 
Hapo penye uhuru ndipo huwa mnapojisahau na kutaka usawa kwa kujiona nanyi ni Me.

So kwa Me anayejitambua kama mimi siwezi kutupatia uhuru kupita kiasi ni lazima niwe nabadilika kila wakati ushindwe kunielewa vzr akili zangu ili uendelee kuongozwa na mimi kama kichwa cha familia bora.
Mwanamke anayepewa uhuru halafu akataka kumtawala mumewe huyo ni mjeuri tu wa asili hata usipompa uhuru bado atataka kukutawala vile vile hapa naongelea wanawake ambao wanatambua nafasi zao hata wakipewa uhuru
 
Kauli kama hizi hufungulia turbo za makofi[emoji23]! Yani unatoaje kauli ya namna hii mbele ya macho yangu? Lawama zitakuw nyingi tu hamna namna.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyomaana ktk kuumbwa kwetu wewe uliumbiwa upendo na Me tuliumbiwa tamaa.

Bila shaka Biblia inanena wazi kuwa "upendo wa kweli huvumilia wala hausabu hesabu mabaya na kutoa toa kasoro"

Nadhani hadi hapo utakuwa ushajua kuwa Ke ndiye anastahili awe mvumilivu sana kuliko Me 7bu ni yeye ndiye aliyeumbiwa elements za upendo wala siyo Me

So acha kushindana na asili yako 7bu utapata tabu sana [emoji3]
Hahahaha wewe hebu kasome maandiko vizuri na uache kuropoka maandiko yanasema mwanaume ampende mkewe na mwanamke amtii mumewe haya huo upendo mlioambiwa wanaume muwe nao kwa wake zenu unauongeleaje? Halafu Mungu alimwambia mwanamke "taama yako itakuwa kwa mumeo" na siyo "mapenzi yako yatakuwa kwa mumeo"

Kasome maandiko vizuri ndo uje tubishane hapa na vile vile hakuna sehemu iliyoandikwa kuwa mwanaume aliumbwa na tamaa ila mwanamke aliumbwa na upendo nitafutie kama ipo huo upendo unaozungumzia wewe kuwa huvumilia na hauhesabu mabaya huyo siyo upendo wa mke kwa mume tu bali ni upendo baina ya watu wote yaani wanafamilia, wanandoa, ndugu na marafiki acha kupotosha
 
Huyo tushamzoea labda kashaathirika sana kwa kutendwa au amegubikwa na pepo la ubishi kupitia ushetani wa "HAKI SAWA" so tumuombee tu ili abadilike taratibu Mzee Baba [emoji851]
Mnaelewa ila mnajifanya hamuelewi bishaneni na maandiko siyo mimi
 
Ni maombi tu tumfanyie huyu binti jamaa yetu. She seems to have gone through many abusive relationships ambapo watu hawa appreciate wema wake. Ana chuki flani ya kisaikolojia.
Maombi? Hayo maombi natakiwa nifanyie mimi ninayewakosoa kupitia maandiko au ninyi mnaobisha kwa kupinga maandiko?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipigo nakiogopa Sana na Sina tabia za utukutu wala kushindana

Unadhani ukimpiga atabadiika!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yah, mwanamke ni kama mtoto, jinsi unavyoishi nae ndio anavyoadapt na mazingira. Ukimdekeza atafikia siku akuite msenge wakati amenyonyesha watoto wako wawili. Hii ni asili ya mwanamke hivyo lazima umchoree mipaka.

Akiwa na kichwa kizuri anabadilika na kuwa mtu poa tu. Saingine ni umri ndio unasumbua hasa hapo 21-24 ni shida tupu.
 
Kwa nilipoanza mahusiano hadi kufikia hapa nilipo sasa, i agree with you! Japo mademu humu wananionaga Iddi Amin au Bandidu ila trust me its the best feeling you can offer to any real woman na wanapenda. Lazma uoneshe possession ya nafasi na territories zako.
tunapenda sana wanaume wanaojiamini ila sijui wanaume huwa wanakwama wapi.!!
 
Back
Top Bottom