Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,768
Hivi vitu sometimes vinaanzia mbali sana. Mazingira au jamii ambayo mtu anakulia vinahusika kwa namna kubwa kumjenga mtu kuwa wa aina fulani. Mwingine unakuta kalelewa na mama, hivyo mama alikuwa aliplay part zote mbili ya baba na mama kiasi cha kumfanya huyu binti kudhani kuwa mwanamke anapaswa kuwa na sauti kama alivyokuwa mama yake. Zipo baadhi ya jamii kutokana na wanaume kuwa watu wa vijiweni ka kucheza bao, wanawake wamekuwa ndio watafutaji wakuu, hivyo kuwafanya kuwa na sauti dhidi ya wanaume. So binti anapokulia katika jamii kama hizi tayari anakuwa kajengeka kuwa yeye ndo sauti ya familia.Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji
Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Mwanaume utaruhusu vipi kutawaliwa? Lazima kwanza ujifahamu kua we ni mwanaume, ukiwa huna pesa, ukiwa hujasoma na mengine mengi, onyesha uanaume wako(alfa male)
Umenena hapo kabisa, its trueWanaume kabla hamjalalamika jilaumuni kwanza kwa kushindwa kusimamia vyema 'uanaume wenu', Just imagine, umefanya kitu kisichomfurahisha na yeye mwanaume anakununia! Seriously?? Mwanamke anune na mwanaume anune???
Niliwahi date guy flani nilikuwa na act kama Mama yake kuliko mpenzi wake kila siku I am being like 'babe please stop this, babe please do this' the same thing applied everyday..!! Unakuja niambia hapa nimuheshimu while yeye mwenyewe hawezi kujiendesha???
Tunapenda sana na kumuheshimu mwanaume anajua yeye ni nani na anasimamia nafasi yake, we all love strong men they make us feeling so secured.!!
Guys, hata kama huna hata 100 simamia nafasi yako kwa mpenzi wako, I swear atakuheshimu.!! Changes begins with you..!!
Mm naamini tabia ya mtu ni matokeo ya mazingira na malezi wala sio pesa, elimu au MaliKwa nn isiwe na mahusiano?? (With fact)
Mm ninaona ni lazima iwe na mahusiano kwasababu tabia ya mtu inakuwa influenced na vitu viwili
1. Yeye mwenyewe anapokuwa ametambua yeye n nan anataka nn na aishije kufikia lile lengo lake.
2. Pili n tabia ambayo ipo influenced na mazingira ambayo yanamzunguka kma familia, marafaki na jamii (kabila, zone, nchi, mpka bara kupitia mila tamamduni na ways of conduct)
Kwa hapo nadhani anawauwezo wa kusema hvyo. Sijui wewe unamtazamo gani!
Jamii ya sasa imeandaa wanawake ambao kimsingi hajawaandaliwa wanaume wa kudeal nao. Kwa hiyo mwanaume usipojipanga. You're all dead.Hivi inakuwaje wanawake wa siku hizi wameingiwa na haka katabia kakutaka kumtawala mwanaume yaani mwanaume inafika hatua hata sauti ndani ya nyumba au katika mahusiano ,
Kila mwanamke yeye ndo yeye anakiendeshaaa mwanamke yeye ndo mzungumzaji muongeaji
Hivi tatizo ni nini mpaka iwee hivi?
Ukioa Mwanamke wa Kaskazini na ww sio wa kaskazini Jiandae kwa hili. Ni wababe balaa. Ukiyumba kiuchumi unaweza hama nchi
Boss embu kuwa seriousNjoo ninapoishi au inbox maana si kila kitu cha kuelezea hapa jukwaani.
Wewe lazima upate mbabe mwenzio ili ndundane vizuri, maana akili yako ishaweka imani katika kupigaMwanamke ni kiumbe dhaifu tu kwa Mwanaume so kipigo kipo pale pale patapohitajika kutumika lkn sijasema nitakuwa nakupiga kwa kila kosa hiyo ni BIG NO
Boss embu kuwa serious
Yaani kufwata vithibitisho nifunge safari hadi unapoishi!?!
Kama mada imejadiliwa jf basi hata vithibithisho vitolewe humu humu
Wewe lazima upate mbabe mwenzio ili ndundane vizuri, maana akili yako ishaweka imani katika kupiga
sio kweli siku hizi ndoa ny8ngi anahudumia mwanamke na baba yupo tena ana kazi...sasa kama umeniachia majukum yote utaniamrisha nn ww ndan ya nyumba ata ukisema usivae ivi au sitaki uwe na rafiki ako fulani wala sitakusikiliza sababu mm ndio mlez wa familia...alafu wanaume mliooa hamtoi chochote nyumban ebu semeni nn tatizo..na ela mnazoUshetani tu unawasumbua...mwanaume ni kichwa au msingi ktk nyumba...
sio kweli siku hizi ndoa ny8ngi anahudumia mwanamke na baba yupo tena ana kazi...sasa kama umeniachia majukum yote utaniamrisha nn ww ndan ya nyumba ata ukisema usivae ivi au sitaki uwe na rafiki ako fulani wala sitakusikiliza sababu mm ndio mlez wa familia...alafu wanaume mliooa hamtoi chochote nyumban ebu semeni nn tatizo..na ela mnazo
Wewe lazima upate mbabe mwenzio ili ndundane vizuri, maana akili yako ishaweka imani katika kupiga
Huyo huyo mbabe aliyejiweka kwa ajili ya kugombanaMwanaume shoga ndo anapigwa na mwanamke the rest tuliobakia ukileta ubabe unanitunishia msuli nakutengua kiuno
Weka tu hapa ili tujifunze woteBasi pendekeza inbox zifutwe kama kuja ninapoishi ni vigumu lkn hata inbox pia si utetezi juu yako la sivyo utakuwa unatapa tapa tu ukitafuta pa kufia kwa kukosa sababu maalum
Ndo ataumia huwez shindana na mwanaumeHuyo huyo mbabe aliyejiweka kwa ajili ya kugombana
Haya babaSioi bondia ili tuwe tunapigana la hasha! 7bu sioni sehemu ya kupiga ktk mwili wa Ke kwa jinsi alivyoumbwa kiudhaifu lkn huwa kuna muda mnapimaga akili zetu Me, na hapo ndipo huwa sirudi nyuma hata kdg ktk kuonesha uhalisia wangu kama Me