Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

hahah hivi unajua ile moment unaongea na jamaa yako af unajifanya kupaza sauti unakula kofi la ghafla la kukukata kauli.Wala sio bao la John Cena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Sitegemei ku experience icho kitu.
Mwanaume wa kunipiga..hapana kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata baba yangu tu hajawahi kunipiga...

Kwa hiyo mkuu na nyie mkikosea tuwe tunawalamba vibao!??
Mbona mnatuonea Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wenzio wawili sijawaona hapa kwenye hii Mada[emoji23][emoji23][emoji23]wale team vipigo
 
Kaka umeniibia mawazo yangu kabisa.

Huyo Jamaa anadhani hatujafanya utafiti kimahusiano kwa makabila yote hayo hadi kufikia hatua kumwona Mmasai pekee ndiye Mke wa kuolewa kanda ya kaskazini kuliko hao wapalestina waliobakia.
 
Huyo ni Me Mzee Baba[emoji1]
 
Hahaaa..."stand for the truth always stand alone" [emoji56]
 
Mkuu... Unatupiga beat tusioe wa Kaskazini halafu unatushawishi Wanawake wa kuoa ni Wamasai tu! Swali langu, kwani Wamasai wanatokea wapi?

Katika hilo kundi naelewa kiundani matatizo ya Wanawake wa Kichaga kwa sababu nimeruka nao sana, hao binadamu ni kama mwanga kwenye kiza huwa huwajui kunichomolea japo mipango yetu huwa haifiki mbali, lakini ni Wanawake wanaonielewa sana!

Kuna wakati nilitaka kuingia kwenye pambano na mrembo wa Kimasai ila sikufanikiwa. Sasa hivi nipo na Mmeru, ila sijaona makeke yake.
 
Asante, bila shaka umetokea kanda ya ziwa, maana si kwa misimamo hiyo Mzee Baba, ndipo pekee Me wenye misimamo thabiti ktk mahusiano tulikobakia...[emoji851]
 
wapi huko? Dar?
Tarime ni tofauti kabisa
 
Kuna mtu amejibu humu "kwa sababu wanaume wa dot.com tunatawalika." Mwisho wa kunukuu.


Nafikiri yupo sahihi pia.

Ukweli ni kwamba kosa kubwa linafanywa na waoaji wakati wa kuchagua mchumba. ....
(Kosea kujenga sio kuoa )


Urembo , elimu ,kazi, na shape ndio kigezo kikuu kwa sasa kwa vijana wanaotaka kuoa ......wakisahau kwamba ndoa has got nothing to do with those materialistic thing.


Son, Oa mwanamke mwenye hofu ya kweli ya Mungu na anayejitambua na amekupenda kweli/sio wa kuforce , "only if " na wewe unajitambua na una hofu ya kweli ya Mungu pia. Full stop .... utaiona dunia km Mbingu

Nje ya hapo , furaha ya ndoa yako ipo rehani na pambana na hali yako maana hakuna / hakutakuwa na namna nyingine, maana makofi ngumi vitakufanya uishie jela na uharibikiwe zaidi.
 
Hahahaaa. Ila punguza hasira mwanamke hapigwi kwa makofi au fimbo. Kauli tu zaweza mbadilisha.

Ila nimemuonea huruma japo nimeona umeandika yuko kwenye mstari sasa.
Mimi nawapiga kwa makofi sana tu na mpaka wengine walioolewa wananipenda hadi ss hv, nimewablock kujiheshimu lkn sometimes Ke hutaka kuonjwa kichapo ili ajione yuko na Me anayeweza kufanya maamuzi magumu wakati wowote ktk mahusiano bila kumuangalia usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…