Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Kweli kabisa ChifuNazani kampani na groups wanazo jiunga nazo tu.
Aliyekulea namtamani!! Hongera kwa kuwa mjuzi katika hii nyanja muhimu ya maishaHata akiwa boya...hupaswi kumtawala...ukifanya hivyo ndio unabomoa nyumba...maana mwanamke ni jengo ila mume ni msingi, jiulize bila msingi kuna jengo?. Neno la Mungu linasema.. " mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe"
Kwa hiyo unamshauri mwenzio asiwe na moyo wa upendo!??Wanaume "Penda penda" ndiyo hukumbwa sana na hili janga 7bu hupoteza control kwa kuongozwa na hisia badala ya akili.
Thread closed.
Busara na hekima zako zimenifurahisha.
Hizi ni comments bora za mwezi Julai 2019.
Mwanaume mwenye kazi AU KIPATO chake anaweza kuishi na mwanamke asiye na kazi Kwa maisha yao yote... LAKINI MWANAMKE MWENYE KAZI AU KIPATO CHAKE KUISHI NA MWANAUME ASIYE NA KAZI MWEZI TU NI KWA MANENO MAGUMU SANA NA MWISHO HATAWEZA
Katika ndoa...wanawake wanafikiri kuwa na kazi kubwa au elimu au pesa ndio wameshakuwa kichwa ktk ndoa...wanasahau uumbaji...wa Mungu...haubadiliki...mwanamke ni msaidizi wa mwanaume...
Kumbuka sample selection bias can occur kwenye hiyo random sampling.
Msipende kuconclude Mambo kwa sababu ya watu wachache.
Tabia njema au mbaya zipo kwa wanawake wote bila kujali ukanda waliopo au makabila yao.
Mimi sio mwanamke wa kichagga lakini nimeona niseme hili..maana mnawakandamiza mno bila sababu
Mimi naona sababu kubwa ni hizi
1)Kukosa hofu ya Mungu, Kushindwa kumjua Mungu na maandiko yake ambayo ndio muongozo wa kuishi hapa duniani ni sababu moja wapo ya mwanamke kutokujitambua.
2)Ulimwengu wa utandawazi, kasi ya teknolojia hasa ktk mitandao ya kijamii kunachangia baadhi ya wanawake kuiga mambo ya uzungu na kutuletea shida.
3)Kipato, mwanamke mwenye kipato kikubwa iwe ana elimu ama la basi ni tatizo kubwa kwa upande wa mwanaume.
4)Mapokeo mabaya. Mwanaume unapotafuta mke achana na maigizo maana ukijakushindwa kuyaendeleza mnapokuwa ndani pamoja ndipo tatizo linapoanzia.muonyeshe mchumba wako mambo kwa uhalisia.
Hizo ni baadhi ya sababu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] asee sipigi kama unavyofikiria. Ni tukofi kadhaa kwa kuweka network sawa.
Kwa makadirio Ni makofi mangapi!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Kuna mtu anaogopa tukofi kweli??
Sidhani km kweli Ni tukofi, hayo lazima yatakuwa mabao ya maana
Mapumbavu mengine yanakwambia Ke hapigwi kwa mikono bali kwa kanga, yanatokea kanda za pwani...[emoji34]Simu hizi tunatawalika Sana sababu hatuna misimamo halafu hatuna vipaumbele vya maisha
kweli kbs nina ndg mmoja nimeshuhudiaUkiona mwanamke amefikia hapo basi ni wewe mwanaume ndo umeyataka kwa kuyaruhusu hayo. Ni kielelezo tosha kuwa wewe mwanaume ni DHAIFU.
"Nyumba inaenda vema baba akiwa na kauli ya mwisho." Baba yangu alishawahi kunambia vivyo. Na pia wewe mwanaume ndo una jukumu la kumshape mwanamke wako, ajue unataka nini na unapenda nini. Si mpaka uwe ushamweka ndani!
Kimila zetu, wazazi wa mwanaume wakishabaini kuwa nyumba 'imekaliwa na mwanamke' hutowaona wakija kukutembelea hata siku moja hapo kwako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atapoteza meno?[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Huo ubabe Sasa
Hivi na sisi siku tukiamua kuwapiga itakuwaje?
Najua Ni makofi ya maana,,maana makofi ya kawaida Hakuna anayeyaogopa..vipigo km vile vya shule tulivyokuwa tunaadhibiwa na walimu mbona Hakuna anayeogopa
Hayo mabao siyapatii picha..yatakuwa. Ya kijohn Cena kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wasema [emoji87]
Utatema kijiji kizima ukiendekeza huo utoto. Wakati huo kule kati panazidi kupata taabu.Me nikishaona mwanaume ananipa mwanya wa kumpanda kichwani namtema immediately...na huwa nakubip nione ni mwanaume wa namna gani,.kama uko yoriyori natafuta sababu tuu tutemane...lol,.
Hahaha. Tuchangamusha gengeMzee wa kuchangamkia fursa kazini [emoji28]
Basi ilinde ndoa yakoNdio