Ni kwanini wanyama walao nyama (carnivorous) hawatumiki kama chakula cha mwanadamu?

Ni kwanini wanyama walao nyama (carnivorous) hawatumiki kama chakula cha mwanadamu?

Wanyama walao nyama yaani carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.

Herbivorous yaani wanyama walao majani ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika Jamii nyingi.

Hii ni kutokana na mafundisho ya dini? Mila au kuna madhara ya kisayansi?
Chunguza utagundua hili.

Wanyama wote walao nyama hawazaliani sana kama wanyama walao majani. Kiafya ukila nyama ya simba, mbwa, chui nk hupati madhala yoyote lakini kwa kuwa wanyama hao hawazaliani sana, wangekuwa wanaliwa na binafamu lazima wangeisha.

Lakini siyo tu sisi wanadamu ndiyo hatuwali lakini pia hata wao kwa wao hawalani. Fisi tu ndiyo hachagui aina ya nyama. Kwa tafsili hiyo Mungu ndiyo aliyetunyima utashi wa kula nyama ya wanyama walao nyama maksudikaly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakunaga point hata ya msingi maana watu wanakula mbwa, ngurue, nyoka na hawadhuriki.

Wanaosema hawali mnyama anayekula nyama ya mnyama mwingine wanihakikishie kuwa hawajawahi kula kuku au samaki maana nao wanakula nyama hata ya binadamu ukiwawekea.

#Bagwell
 
Kuku ni mnyama!!!

Wewe mkunduguyangu unakwama wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chunguza utagundua hili.

Wanyama wote walao nyama hawazaliani sana kama wanyama walao majani. Kiafya ukila nyama ya simba, mbwa, chui nk hupati madhala yoyote lakini kwa kuwa wanyama hao hawazaliani sana, wangekuwa wanaliwa na binafamu lazima wangeisha.

Lakini siyo tu sisi wanadamu ndiyo hatuwali lakini pia hata wao kwa wao hawalani. Fisi tu ndiyo hachagui aina ya nyama. Kwa tafsili hiyo Mungu ndiyo aliyetunyima utashi wa kula nyama ya wanyama walao nyama maksudikaly

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeipenda hiyo "maksudikaly"
 
Inamaana unakwenda butcher kabisa kununua nyama ya paka au mbwa?
Kwanza ninawapa pole, kinyesi cha carnivorous kina harufu kali, Afadhali Nile ng’ombe ambae ninaweza kulala na kinyesi chake.
Kwani wewe unakula kinyesi au nyama?mfano mbwa analiwa.
 
I was told the main reason we don't eat meat eaters is because of the risk of them having rabies or other disease. Lakini vipi kuhusu samaki?
 
Hata mie sipendi.
Hawa wanyama waliwa ila inategemea uko katika eneo gani. Kwa mafano, Kanda ya Ziwa kuna watu wanaokula nyama ya Mamba, Kiboko. Pia wapo hapo Kanda ya Kanda ya Kati wapo wanaokula Punda wa kubeba mizigo! Kwa hiyo, ni mazoea na malezi tu. Kule kwa Wakurya sio rahisi kumkuta mtu anakula Mchunga lakini ni mboga pendwa kwa Kanda ya Kaskazini!
 
Mimi nadhanni ni kwasababu ya nutrients circulation, (mzunguko wa virutubisho). Primary provider wa virutubisho ni mimea, then virutubisho vinahamia kwa herbivorous and omnivorous, then kwa carnivorous na mwisho kwa Dicomposers kama vile bacteria.
So carnivorous inakua ngumu kuliwa nyama zao coz wako wachache, hawana virutubisho vingi kama wengine, na nyama zao nasikia ni chungu mpaka uongeze vitu vingne ndo uweze kula, wana complex protein ambazo zina madhara kwa watakao kula, otherwise You're the chosen kama vile Fisi.
 
Hawa wanyama waliwa ila inategemea uko katika eneo gani. Kwa mafano, Kanda ya Ziwa kuna watu wanaokula nyama ya Mamba, Kiboko. Pia wapo hapo Kanda ya Kanda ya Kati wapo wanaokula Punda wa kubeba mizigo! Kwa hiyo, ni mazoea na malezi tu. Kule kwa Wakurya sio rahisi kumkuta mtu anakula Mchunga lakini ni mboga pendwa kwa Kanda ya Kaskazini!
Hivi Kiboko anakula nyama? Kiboko namla.
 
Kwasababu kwenye energy level piramid kiasi cha energy hupungua kadiri unavyoacha kutumia chakula cha mimea ndio maana mtoto wa nyumbu akizaliwa ni swala la dk anaanza kukimbia wakati wa simba inamchukua muda.
Hivyo kula nyama ya mla nyama ni kula chakula chenye less energy
Na the least energy ni decomposers kama bacteria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Carnivorous Wana Coronavirus na ulaji wake Niucarnibalism tuu
 
Back
Top Bottom