Chunguza utagundua hili.Wanyama walao nyama yaani carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.
Herbivorous yaani wanyama walao majani ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika Jamii nyingi.
Hii ni kutokana na mafundisho ya dini? Mila au kuna madhara ya kisayansi?
fisi analiwa nduguHapana, nyama ya fisi hailiwi,bali wasukuma wanaimani kwamba,fisi hutumika kwenye ulozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku ni mnyama!!!Hakunaga point hata ya msingi maana watu wanakula mbwa, ngurue, nyoka na hawadhuriki.
Wanaosema hawali mnyama anayekula nyama ya mnyama mwingine wanihakikishie kuwa hawajawahi kula kuku au samaki maana nao wanakula nyama hata ya binadamu ukiwawekea.
#Bagwell
Chunguza utagundua hili.
Wanyama wote walao nyama hawazaliani sana kama wanyama walao majani. Kiafya ukila nyama ya simba, mbwa, chui nk hupati madhala yoyote lakini kwa kuwa wanyama hao hawazaliani sana, wangekuwa wanaliwa na binafamu lazima wangeisha.
Lakini siyo tu sisi wanadamu ndiyo hatuwali lakini pia hata wao kwa wao hawalani. Fisi tu ndiyo hachagui aina ya nyama. Kwa tafsili hiyo Mungu ndiyo aliyetunyima utashi wa kula nyama ya wanyama walao nyama maksudikaly
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe unakula kinyesi au nyama?mfano mbwa analiwa.Inamaana unakwenda butcher kabisa kununua nyama ya paka au mbwa?
Kwanza ninawapa pole, kinyesi cha carnivorous kina harufu kali, Afadhali Nile ng’ombe ambae ninaweza kulala na kinyesi chake.
Hata TZ population ikiwa kubwa na upatikanaji wa nyama ukawa shida tutakula tu, Wachina hawali mawe tu lakini vingine vyote vinaliwaWote wanaliwa ila inategemea upo wapi. China wanakula paka, mbwa, chui, python and whatever na si china tu tuseme South Asia wote kutoa baadhi ya makabila wanakula kila kitu.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hawa wanyama waliwa ila inategemea uko katika eneo gani. Kwa mafano, Kanda ya Ziwa kuna watu wanaokula nyama ya Mamba, Kiboko. Pia wapo hapo Kanda ya Kanda ya Kati wapo wanaokula Punda wa kubeba mizigo! Kwa hiyo, ni mazoea na malezi tu. Kule kwa Wakurya sio rahisi kumkuta mtu anakula Mchunga lakini ni mboga pendwa kwa Kanda ya Kaskazini!Hata mie sipendi.
Ili tupumzike maana kila saa kila dk upo humu!Ukishajua itakusaidia nini?
Hivi Kiboko anakula nyama? Kiboko namla.Hawa wanyama waliwa ila inategemea uko katika eneo gani. Kwa mafano, Kanda ya Ziwa kuna watu wanaokula nyama ya Mamba, Kiboko. Pia wapo hapo Kanda ya Kanda ya Kati wapo wanaokula Punda wa kubeba mizigo! Kwa hiyo, ni mazoea na malezi tu. Kule kwa Wakurya sio rahisi kumkuta mtu anakula Mchunga lakini ni mboga pendwa kwa Kanda ya Kaskazini!
Wanakula kama chakula??? Si kwelSimba na chui ni wanyama pia lakini wanakula nyama.
Kumbe kuku mmea, wewe ulisoma shule gani ?
Lakini hawalaniSimba na chui ni wanyama pia lakini wanakula nyama.
Kuna ndege na wanyama. Wewe itakuwa umefundishwa na mwl Titto (nabii)Kumbe kuku mmea, wewe ulisoma shule gani ?
Portfolio | 2020