Wanyama walao nyama, yaani Carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.
Herbivorous, yaani wanyama walao majani, ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika jamii nyingi.
Hii ni kutokana na mafundisho ya dini, mila au kuna madhara ya kisayansi?
Kweli unachosema..hao viumbe hawajaweza kuliwa leo na kama ni magonjwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja namna hiyo angalau ukiniambia juu ya Genetically modified organism "GMO" naweza kupata mkuno akilini.Ukiondoa fisi anayekula kila kitu, wanyama wengine wawindaji huwa hawali wawindaji wenzao, mfano. utagundua simba hana kawaida ya kuwinda na kumla fisi au chui. Lakini utashangaa kuna binadamu hasa wachina wanakula chochote kinachosogea, unategemea wasipate magonjwa yasiyoeleweka chanzo kama corona.......akikatiza bundi, kobe sijui popo ni kula kwa kwenda mbele...dah!
Hujui kuna wanyama ambao wanabeba vimelea hatari vya magonjwa....unaelewa kitu kinachoitwa carrier status au pathogen load au na wewe ndo wale wanaokula chochote kinachokatiza mbele..Siyo
Kweli unachosema..hao viumbe hawajaweza kuliwa leo na kama ni magonjwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja namna hiyo angalau ukiniambia juu ya Genetically modified organism "GMO" naweza kupata mkuno akilini.
Mmmh..hawatumiki kama chakula wapi Mkuu?Nadhani carnivorous animals shughuli pevu na hatari kuwawinda na pili taabu kuwafuga(itabidi kuwalisha nyama) ndio maana hawatumiki kama chakula. Dhana ya mbichi hizo hazifai creeps in.
kuku anakula mende, minyoo hata nyoka akikaa vibayaanaliwa na bado mbona tunamla..Wanyama walao nyama, yaani Carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.
Herbivorous, yaani wanyama walao majani, ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika jamii nyingi.
Hii ni kutokana na mafundisho ya dini, mila au kuna madhara ya kisayansi?
Kuna siku mzee aliniusia nisije kujaribu kuvuta bange maana nitakua chizi, kwenye ukoo wao ni mwiko kusmoke weed.Mkuu hongera kwa swali zuri na fikirishi.
Ingawa sielewi chochote kuhusu chanzo halisi cha ubaguzi huu wa chakula.
Zamani niliwahi kuuliza swali lenye kufanana na swali lako, lakini majibu yake sikuyafanyia utafiti wa kufanya kukidhi kiu yangu.
Tangia utotoni, nimekua huku nikiaminishwa baadhi ya vyakula flani flani, si kwa mpangilio huo wa walao nyama ama majani, kuwa ni 'mwiko' kuvitumia katika ukoo wetu na ndicho nilichotaka nikifahamu, kwa nini ni mwiko!
Nikaambiwa kuwa 'mwiko' huo ulianzia pale 'wahenga' wetu walipotumia baadhi ya vyakula na kisha kuwaletea mzio (allergy diet).
Ndiyo ikatokea kwamba watu fulani hawali hiki na wengine hawali kile.
Kwa hiyo, chochote alacho mtu na kisimletee madhara, kinafaa kuliwa, nikasema 'fine'.
Nikaja kuuliza tena kuhusu 'mwiko' wa mahusiano, wa mtu na ndugu yake kufanya mapenzi ama kuoana, mzee yule akawa mkali kwa maswali yangu, nilielewa ukali wake ulimaanisha nini, hadi pale mengine nilipokuja kupata majibu yake shuleni.
Sent using Jamii Forums mobile app
KWAHIYO unamaanisha Mtoto wa Rastafari akizaliwa ni dakika tu ataanza kukimbia.Kwasababu kwenye energy level piramid kiasi cha energy hupungua kadiri unavyoacha kutumia chakula cha mimea ndio maana mtoto wa nyumbu akizaliwa ni swala la dk anaanza kukimbia wakati wa simba inamchukua muda.
Hivyo kula nyama ya mla nyama ni kula chakula chenye less energy
Na the least energy ni decomposers kama bacteria
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, utashi nini maana yake?Chunguza utagundua hili.
Wanyama wote walao nyama hawazaliani sana kama wanyama walao majani. Kiafya ukila nyama ya simba, mbwa, chui nk hupati madhala yoyote lakini kwa kuwa wanyama hao hawazaliani sana, wangekuwa wanaliwa na binafamu lazima wangeisha.
Lakini siyo tu sisi wanadamu ndiyo hatuwali lakini pia hata wao kwa wao hawalani. Fisi tu ndiyo hachagui aina ya nyama. Kwa tafsili hiyo Mungu ndiyo aliyetunyima utashi wa kula nyama ya wanyama walao nyama maksudikaly
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukatalia kwa sababu hao wanyama hawajaanza kuliwa mwaka jana au mwaka huu.Wanaliwa from the time immemorial na kama ni carriers wa vimelea ina maana hawajaanza leo ni jambo ambalo lipo hivyo lilivyo. Ukiangalia hoja yangu nimesema angalau tukisema kama kuna genetic modification au naweza kuongeza 'gene mutation' ndiyo tunaweza kusema tatizo hili lina mawanda mapya.Hujui kuna wanyama ambao wanabeba vimelea hatari vya magonjwa....unaelewa kitu kinachoitwa carrier status au pathogen load au na wewe ndo wale wanaokula chochote kinachokatiza mbele..
Hapana, nyama ya fisi hailiwi,bali wasukuma wanaimani kwamba,fisi hutumika kwenye ulozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanyama walao nyama, yaani Carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.
Herbivorous, yaani wanyama walao majani, ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika jamii nyingi.
Hii ni kutokana na mafundisho ya dini, mila au kuna madhara ya kisayansi?
Mbona mimi Carnivore ila nakula wewe Sky eclat?Wanyama walao nyama, yaani Carnivorous hawatumiki kama sehemu ya chakula cha mwanadamu karibu sehemu nyingi duniani.
Herbivorous, yaani wanyama walao majani, ndiyo hutumika kama sehemu ya chakula katika jamii nyingi.
Hii ni kutokana na mafundisho ya dini, mila au kuna madhara ya kisayansi?