Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Kwa hiyo anayejua asili ni Majuto mwenyewe au mwanaye? Majuto mwenyewe alisema ametoka Kigoma, huyo mwanaye anajua nini? Wewe umekaa dawati moja na mtoto wake, wakati wengine tumefanya kazi na Majuto...
alisema wapi ,hebu tuwekee hiyi audio au link tusikilize wote
 
Billionaire wa haya madafu yetu au wa dolarii, tuanzie hapo kwanza
 
Kitwana manara...sunday manara...makumbi juma...abeid mziba...yahaya akilimali...nteze john...selemani matola...edibily lunyamila...said maulid...yusufu macho "muso"
 
Dah...Amber Ruth naye Kigoma....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Watu Wa kigoma kinachowaponza ni ubishi na kujiona superior yaani kupenda maujiko ya kijingajinga, MTU unadiriki kumuita Abdul Nondo ni mtu maarufu wakati kijijini kwao tu hawamjui
 
Jiwe, Mzee wa msoga, aliyekataliwa mkono na maalim Seif wote wana asili ya huko
 
hayati King majuto mdigo pure wa tanga ,donge
SIO KWELI MAREHEMU MAJUTO ALIKUWA MBEMBE WA KIGOMA ILA ALIZALIWA NA KUKULIA TANGA, KUKULIA TANGA AU KUZALIWA TANGA HAKUKUPI TASWIRA YA KUWA MWENYEJI WA TANGA
 
LINAH Sanga sio wa Kigoma. Umemchanganya na LINEX naona!
 
Hawana utanzania mwiiiiiiingi sana. Kama huamini angalia wagogo wa katikati na hao Wazaramo jumlisha Wapogoro na Waluguru wanaojiita original.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…