Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Kwa hiyo anayejua asili ni Majuto mwenyewe au mwanaye? Majuto mwenyewe alisema ametoka Kigoma, huyo mwanaye anajua nini? Wewe umekaa dawati moja na mtoto wake, wakati wengine tumefanya kazi na Majuto...
alisema wapi ,hebu tuwekee hiyi audio au link tusikilize wote
 
Wana asili ya kudhubutu ni wabishi mwisho wa siku lazma wachomoze....mana ukiwa mbishi lazma tu watu watakuachia nafasi....hata hvo ni moja ya mikoa ambayo watu wake huanza vizur lakn mwishon huishia kwenye ufukara na umaskini wa kutupwa....hakuna billionare wa kutoka kigoma...
Billionaire wa haya madafu yetu au wa dolarii, tuanzie hapo kwanza
 
Kitwana manara...sunday manara...makumbi juma...abeid mziba...yahaya akilimali...nteze john...selemani matola...edibily lunyamila...said maulid...yusufu macho "muso"
 
Dah...Amber Ruth naye Kigoma....😀😀😀😀😀
 
Watu Wa kigoma kinachowaponza ni ubishi na kujiona superior yaani kupenda maujiko ya kijingajinga, MTU unadiriki kumuita Abdul Nondo ni mtu maarufu wakati kijijini kwao tu hawamjui
 
Jiwe, Mzee wa msoga, aliyekataliwa mkono na maalim Seif wote wana asili ya huko
 
hayati King majuto mdigo pure wa tanga ,donge
SIO KWELI MAREHEMU MAJUTO ALIKUWA MBEMBE WA KIGOMA ILA ALIZALIWA NA KUKULIA TANGA, KUKULIA TANGA AU KUZALIWA TANGA HAKUKUPI TASWIRA YA KUWA MWENYEJI WA TANGA
 
Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....

1.DIamond platnum KIGOMA

2.ALI KIBA KIGOMAAAA

3.ZITTO KABWE KIGOMAA

4.ABDUL NONDO KIGOMA

5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA

6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA

7.JUMA KASEJA KIGOMA

8.LINAH KIGOMA

9.UPENDO NKONE KIGOMA

10.DAVID KAFULILA KIGOMA

11.KING MAJUTO KIGOMA

12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA

13.TX MOSHI KIGOMA

14.BANANA ZORO KIGOMA

15.MAUNDA ZORO KIGOMA

16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA

17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)

18.

19.

HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI

Sent using Jamii Forums mobile app
LINAH Sanga sio wa Kigoma. Umemchanganya na LINEX naona!
 
Hawana utanzania mwiiiiiiingi sana. Kama huamini angalia wagogo wa katikati na hao Wazaramo jumlisha Wapogoro na Waluguru wanaojiita original.
 
Back
Top Bottom