Ni kwanini watu wengi maarufu nchii hii wanatokea kigoma

Juma kitmbi mtunzi wa wimbo"rangi yachungwa"....shem kalenga...zahoro bangwe...hassan rehani bitchuka
 
Ommy Dimpoz
Soudy Brown
Baruan Mhuza
Prof. Ndalichako
Philip Mpango
Baba Levo
M. Machali
Recho
Mwasiti
Linex
A. Nditiye
Khasheem Rungwe
Nk nk nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatumia vigezo gani kusema mtu fulani ni maarufu. Maana hata mikoa mingine wakiamua kutaja watu wao ambao wanaonekana kwenye media list ndefu zitapatikana tu
 
Kaazi kweli kweli eti majuto alkuwa mwenyeji wa kigoma kuliko tanga[emoji1][emoji1]
unajua maana ya mwenyeji?
hivi huko mbepe na tanga wapi ambapo majuto ni mwenyeji kwa maana ya uwenyeji
 
Kweli binadam ni mzigo usiobebeka. Wakati ilipokuwa hakuna kiongozi aliyekuwa anatoka huko mlikuwa mnalalamika kuwa wapembezoni wamesahaulika kwa kila kitu kwa sababu hakuna viongozi wanaotoka huko. Hivi sasa mambo yamebadilika mnaanza kujisifu.
 
Marhaba dogo..vp mjin umefanikiwa na mm nataka niibukie huko?
Mh, wewe ni wa kike, kwahiyo hata huwezi kuteseka kama mimi nilivyo sota.
Karibu mjini, wapo wenye hela zao watakupokea. Mimi nitakuja tuonane tu na kupeana namba za simu. (Ukipenda lakini)
 
sijaona mtu maarufu hapo

Mh, wewe ni wa kike, kwahiyo hata huwezi kuteseka kama mimi nilivyo sota.
Karibu mjini, wapo wenye hela zao watakupokea. Mimi nitakuja tuonane tu na kupeana namba za simu. (Ukipenda lakini)
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona nilishasota na naendelea kusota
 
Mh, wewe ni wa kike, kwahiyo hata huwezi kuteseka kama mimi nilivyo sota.
Karibu mjini, wapo wenye hela zao watakupokea. Mimi nitakuja tuonane tu na kupeana namba za simu. (Ukipenda lakini)
Acha mapenzi Fanya kazi
 
Hivi na huyu Lina anayezungumziwa hapa unamaanisha huyu Sanga Mkinga wa Makers!..? Sad[emoji42]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…