Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unajua maana ya mwenyeji?SIO KWELI MAREHEMU MAJUTO ALIKUWA MBEMBE WA KIGOMA ILA ALIZALIWA NA KUKULIA TANGA, KUKULIA TANGA AU KUZALIWA TANGA HAKUKUPI TASWIRA YA KUWA MWENYEJI WA TANGA
Mnatumia vigezo gani kusema mtu fulani ni maarufu. Maana hata mikoa mingine wakiamua kutaja watu wao ambao wanaonekana kwenye media list ndefu zitapatikana tuOmmy Dimpoz
Soudy Brown
Baruan Mhuza
Prof. Ndalichako
Philip Mpango
Baba Levo
M. Machali
Recho
Mwasiti
Linex
A. Nditiye
Khasheem Rungwe
Nk nk nk
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua maana ya mwenyeji?
hivi huko mbepe na tanga wapi ambapo majuto ni mwenyeji kwa maana ya uwenyeji
Kweli binadam ni mzigo usiobebeka. Wakati ilipokuwa hakuna kiongozi aliyekuwa anatoka huko mlikuwa mnalalamika kuwa wapembezoni wamesahaulika kwa kila kitu kwa sababu hakuna viongozi wanaotoka huko. Hivi sasa mambo yamebadilika mnaanza kujisifu.Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA
3.ZITTO KABWE KIGOMAA
4.ABDUL NONDO KIGOMA
5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA
6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA
7.JUMA KASEJA KIGOMA
8.LINAH KIGOMA
9.UPENDO NKONE KIGOMA
10.DAVID KAFULILA KIGOMA
11.KING MAJUTO KIGOMA
12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA
13.TX MOSHI KIGOMA
14.BANANA ZORO KIGOMA
15.MAUNDA ZORO KIGOMA
16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA
17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)
18.
19.
HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh, wewe ni wa kike, kwahiyo hata huwezi kuteseka kama mimi nilivyo sota.Marhaba dogo..vp mjin umefanikiwa na mm nataka niibukie huko?
Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA
3.ZITTO KABWE KIGOMAA
4.ABDUL NONDO KIGOMA
5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA
6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA
7.JUMA KASEJA KIGOMA
8.LINAH KIGOMA
9.UPENDO NKONE KIGOMA
10.DAVID KAFULILA KIGOMA
11.KING MAJUTO KIGOMA
12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA
13.TX MOSHI KIGOMA
14.BANANA ZORO KIGOMA
15.MAUNDA ZORO KIGOMA
16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA
17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)
18.
19.
HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]mbona nilishasota na naendelea kusotaMh, wewe ni wa kike, kwahiyo hata huwezi kuteseka kama mimi nilivyo sota.
Karibu mjini, wapo wenye hela zao watakupokea. Mimi nitakuja tuonane tu na kupeana namba za simu. (Ukipenda lakini)
Acha mapenzi Fanya kaziMh, wewe ni wa kike, kwahiyo hata huwezi kuteseka kama mimi nilivyo sota.
Karibu mjini, wapo wenye hela zao watakupokea. Mimi nitakuja tuonane tu na kupeana namba za simu. (Ukipenda lakini)
Unachotakiwa kujua hapa sio ujijiTuacheni kukariri vitu basi, mapenzi yako wapi hapo?
Aise, kazi ipo.
Mama yangu Inna nakutakia jioni njema, maana naona nimevamiwa hapa!
Linah mkinga na tx moshi ni msukuma,hata hivyo listi ya watu 17 huwezi kuita ni wengi
Hivi na huyu Lina anayezungumziwa hapa unamaanisha huyu Sanga Mkinga wa Makers!..? Sad[emoji42]Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA
3.ZITTO KABWE KIGOMAA
4.ABDUL NONDO KIGOMA
5.ASKOFU KAKOBE KIGOMA
6.SHEHE PONDA ISSA PONDA KIGOMA
7.JUMA KASEJA KIGOMA
8.LINAH KIGOMA
9.UPENDO NKONE KIGOMA
10.DAVID KAFULILA KIGOMA
11.KING MAJUTO KIGOMA
12.CHEGE CHIBUNDA KIGOMA
13.TX MOSHI KIGOMA
14.BANANA ZORO KIGOMA
15.MAUNDA ZORO KIGOMA
16.DOCTOR LEAKEY KIGOMA
17.FUNDI HAMIS FULL MIGEBUKA (KIGOMA)
18.
19.
HAYA MNAWEZA KUENDELEA KUWATAJA WENGINE NILIOWASAHAU LAKINI KWANINI
Sent using Jamii Forums mobile app