Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

wafia dini watakuja kukwambia alionyeshwa maono.
 
Ukiongelea vitabu vya dini ni kwamba walipewa mitume ambao walifundishwa na mungu kwahiyo binadamu hawajui dunia ilipoanzia ila mungu anafahamu kwa kwa yeye ndio aliyeiumba dunia
 
Lakini huyo hata miaka 200 hawezi kufikisha.
ni sawa na mtu uliembishia hawezi kukupiga, sasa amekupiga halafu we unasema "lakini yule pale huwezi kumpiga"

point ni kwamba umeweza kupigwa, hiyo ya kumpiga mtu mwingine haihusiani na kichapo ulichopata.
 
Sasa adam na hawa waliishi miaka mingapi?
 
yesu alisema imani bila matendo ni kazi bure
 
Walisha tudanganya sana. lakini cha ajabu kunawatu bado wanaendelea kuamini uongo.
 

mkuu upo juu.. biblia ipo encoded, hata mimi naelewa hivyo. nimepata huo ufahamu kutoka kwa mwanasayansi anaitwa David Flynn, tunachokisoma ni zaidi ya upeo wa macho yetu, geometry imetembea mule mwanzo mwisho.

ila kutokana na hawa wafia dini kusoma kitabu jinsi kilivyo, inabidi twende nao sawa hivyo hivyo.
 
KABLA HUJAELEWESHWA KICHWA CHA UJUMBE WAKO CHENYEWE NI KIASHIRIA KUWA UNA HAKI YA KUTOELEWA MAMBO MEPESI YA NAMNA HIYO. UTUBU ILI MUNGU AKUSAIDIE KUYAELEWA NA KUIELEWA BIBLIA KI UFASAHA. BILA HIVYO UNAKOELEKEA NI PABAYA SANA. WOTE WANAOIPINGA BIBLIA NI WAPINGA UKRISTO NA ADHABU YAKE NI JEHANAMU.
 
Biblia haieleweki kwa akili za kawaida. Ndio maana pepo lililoko ndani lazima litolewe ndio ueleweshwe.
Sasa Umejuaje Ana Pepo.... ? Au kwa vile Aliyoyaongea Yanapingana Na Unachokishikilia
 
Mkuu huyo aliyeandika kimo cha futi 90 inabidi afunguliwe mashtaka hata kama alishakufa.Yaani Adam alikuwa na urefu wa mita 30 then miaka 6000 baadae wanawe wana mita 2 tu?...this is a real BULLSHIT.
 
Mkuu huyo aliyeandika kimo cha futi 90 inabidi afunguliwe mashtaka hata kama alishakufa.Yaani Adam alikuwa na urefu wa mita 30 then miaka 6000 baadae wanawe wana mita 2 tu?...this is a real BULLSHIT.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zambi inaenea duniani na mpaka kwenye vichwa vyetu haya maswali ni mbinu ya kishetani kabisa
Kwa hyo unataka uishi Kama nguruwe? Kama mngu amekpa uwezo wa kujitambua tofauti Na viumbe wengine,kwann usfkirie badala ya kuburuzwa Kama kuku..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…