Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Hadi uzi unafika pg ya 12, hakuna mfiadini aliyejitokeza kukanusha hii post ya Kiranga ama kuomba radhi kwa uongo ulioandikwa kwenye Bible....Hivi inawezekanaje mwaandishi mmoja kujicontradict mwenyewe tena baada ya sura 1 au 2?...wafia dini majibu tafadhali.
 
Mkuu huyo aliyeandika kimo cha futi 90 inabidi afunguliwe mashtaka hata kama alishakufa.Yaani Adam alikuwa na urefu wa mita 30 then miaka 6000 baadae wanawe wana mita 2 tu?...this is a real BULLSHIT.
Huyu jamaa anautani.
 
unatuuliza kuwa walitumia kipimo gani ilihali nasisi hatukuwepo pia!!! jenga swali lako ktk namna ambayo unaweza patiwa majibu 😡😕😎😵😵😵
 
Huyu jamaa anautani.
Yaani hao watu walikuwa macomedian full....Hizi ni hallucinations siyo vitu vya maana kabisa Mkuu....Futi 90? yaani urefu wa makontena manne na nusu yale makubwa? lol! waache kutupima imani hao.
 
mistari mingine inayochanganya ni hii..

MWANZO 2:25

"Nao walikuwa uchi wote wawili, Adam na mkewe, WALA HAWAKUONA HAYA."

BAADA YA KULA TUNDA.

MWANZO 3:7

"Wakafumbuliwa macho wote wawili, WAKAJIJUA KUWA WA UCHI."

sasa mbona kwenye aya ya pili inasema kabisa Adam na Eva walijua wapo uchi na hawakuona haya/aibu, na hii aya ya tatu inasema BAADA YA KULA TUNDA WAKAJIJUA WAPO UCHI kana kwamba Eva hajawahi kuona mkwaju wa Adam na Adam hajawahi kuona kitumbua cha Eva?
 
Yaani hao watu walikuwa macomedian full....Hizi ni hallucinations siyo vitu vya maana kabisa Mkuu....Futi 90? yaani urefu wa makontena manne na nusu yale makubwa? lol! waache kutupima imani hao.
Ila wanasema eti saizi binadamu amepunguza miaka ya kuishi kutokana na mazingira.
Lakini ingekuwa ni kweli adamu na hawa waliishi miaka 900 saizi kutokana na mzingira ilitakiwa bindamu aishi angalau hata miaka 600.
Kwasababu ukipiga hesabu ktk mazingira haya haya tunayo ishi kuna viumbe vinaishi miaka mingi sana kwa mfano kobe nilisikia anauwezo wa kuishi hadi miaka 250.

Lakini kutoka miaka 900 hadi binadamu kuja kuishi miaka 100 na hapo wakati anabahati sana. lakini kawada ni 45 au 55 kwa tanzania.
 
Ikiwa wazungu ndiyo waliyobuni dini na kutunga kitabu chake ili kuwaongopea watu,hiyo dini pamoja na hicho kitabu(UONGO) ni vitu vilivyosambaa karibu dunia nzima hadi sasa.


Swali nalojiuliza hapa ikiwa hao waongo(wazungu) wameweza kufanikiwa kusambaza uongo dunia Nouma na kwa muda mrefu hivyo je,haiwezekani ikawa waongo hawa(wazungu) wakawa wanaendelea kudanganya ulimwengu kwa staili na mbinu tofauti katika masuala mengine hivi sasa?
 
Mwanzo 6 inatoa mwongozo mpya wakati tayari watu wapo wana miaka mingi lilitimia vizazi vijavyo
 
Kitabu cha Ayubu (ayub 1,6 - 8)
kinaelezea mahusiano kati ya mungu na shetani,

pale ambapo mungu anapo mwuliza shetani, "umetoka wapi wewe?" nae shetani akamjibu "natoka kuzunguka huku na huko duniani".

Mungu akamwuliza Shetani "je umemwona huyo mtumishi wangu ayub, kwani hakuna kama yeye duniani, mwelekevu na mcha mungu.

Shetani akamjibu mungu" huyo ayubu humcha mungu bure?
 
Haya ni mache ya katika yale mengi yaliyo tudanganya.
Ila kwenye biblia ndio kuna uongo mwingi kiufupi biblia inauongo 800%
 
Mimi ni sis my dear. ...I'M ISIS. ...EGYPT. ..pls Google. ..
Very sorry Miss,jina lako kwenye avatar lilinichanganya kidogo,nikawa nimetekwa akili na jina bila kuangalia avatar yenyewe,Moreover, thanks for enlightenment you gave me about huyo miss ISIS nitaenda kum google kama ulivyonishauri ili nifahamu mengi yanayomuhusu,Asante kwa elimu.
 
Actually ni GODDESS ISIS. ..amen. .siku njema.
 
Wapi imeandikwa kujiuliza maswali yalio nje ya upeo (upeo hupi? Wa mwanadamu, Shetani au mungu) utakuja kujuta?

Lete aya kutoka kwenye Quran au biblia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…