Inawezekana kabisa tunadanganywa hata kwenye mambo mengine mengi.Ikiwa wazungu ndiyo waliyobuni dini na kutunga kitabu chake ili kuwaongopea watu,hiyo dini pamoja na hicho kitabu(UONGO) ni vitu vilivyosambaa karibu dunia nzima hadi sasa.
Swali nalojiuliza hapa ikiwa hao waongo(wazungu) wameweza kufanikiwa kusambaza uongo dunia nzima na kwa muda mrefu hivyo je,haiwezekani ikawa waongo hawa(wazungu) wakawa wanaendelea kudanganya ulimwengu kwa staili na mbinu tofauti katika masuala mengine hivi sasa??
Mkuu dont confused Morning star na light.morning star=jesus
Wafia dini watasema kapewa maono.Sasa Umejuaje Ana Pepo.... ? Au kwa vile Aliyoyaongea Yanapingana Na Unachokishikilia
Shetani ni mfalme wa ulimwengu.Zambi inaenea duniani na mpaka kwenye vichwa vyetu haya maswali ni mbinu ya kishetani kabisa
Ndiyo inawezekana lakini mie kinachonishangaza ni kutumika nguvu kubwa kwenye kukosoa uongo wa kwenye dini lakini kwenye mambo mengine ya wazungu hatufanyi hivyo tunakubali kila wanachosema(tunaamini).Inawezekana kabisa tunadanganywa hata kwenye mambo mengine mengi.
Kweli wewe ni frustrated kupita maelezo. Siwezi kukusaidia.Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, pale mwanzo kabisa, kabla ya chochote au yeyote kuumbwa, hakuamua kuumba ulimwengu ambao ubaya wowote hauwezekani?
Kwa nini kaumba ulimwengu huu ambao ubaya unawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Ungejiuliza maswali machache kwanza kabla ya kudai Biblia imesema uongo.Mtu kuishi miaka 100 tu ni mziki lakini Biblia inasema Adam na Hawa waliishi miaka 900.
Je, hao walioandika Adam na Hawa waliishi miaka 900 walitumia kipimo gani?
Pamoja na yote hayo lakini kuishi miaka 900 ni uongo.
Nenda kwenye miji mitukufu kama maka ushahidi upo wazi kabisa kuanzia nyayo zao na makaburi yao pia yapoYaani hao watu walikuwa macomedian full....Hizi ni hallucinations siyo vitu vya maana kabisa Mkuu....Futi 90? yaani urefu wa makontena manne na nusu yale makubwa? lol! waache kutupima imani hao.
Mkuu kulingana na reality ninayoishi hata kama nitawaona physically, bado itaniwia vigumu kuamini.Nenda kwenye miji mitukufu kama maka ushahidi upo wazi kabisa kuanzia nyayo zao na makaburi yao pia yapo
ila kumbuka hiyo evolution unayoisemea umejifunzia darasani tena kwa kukaririshwa mawazo ya mtu mmoja ambaye kafanya tafiti zake yeye , sasa huyo mtu kama alikuwa wrong utajuaje??Mimi special creation thery huwanaikataa kabisa.Miaka 6000 haiwezi kuruhusu Evolution speed ya haraka namna hiyo Mkuu.
"Mambo mengine ya wazungu" yapi?Ndiyo inawezekana lakini mie kinachonishangaza ni kutumika nguvu kubwa kwenye kukosoa uongo wa kwenye dini lakini kwenye mambo mengine ya wazungu hatufanyi hivyo tunakubali kila wanachosema(tunaamini).
Hujajibu swali.Kweli wewe ni frustrated kupita maelezo. Siwezi kukusaidia.
Kwani imeandikwa usishindane na ********.
Una hoja ya kupinga hata kepesi tu?Nafunga Roho ya atheism ktk jina la Yesu.
soma ufunuo 22:16.Mkuu dont confused Morning star na light.
Morning star - > nyota ya asubuhi.
Light - > nuru.
Soma maandiko vizuri.
Ye
Tup3 unachojua kakaUmepata tuhela umenunua ka smartphone ushaanza kuanika kutokujua kwako. ...hongera
Ni imani tuNafunga nianze kuichambua. Vipimo vilivyotumika ni ufunuo ambao Mungu alimfunulia mwandishi
*******HII POST YAKO NAKUSHAURI UITENGUE UTAKUJA KUJUTA SANA PINDI UKATAPO ROHO, NA UTAONESHWA TENA LIVE******Huyo Mungu Mungu gani aweke mafumbo ya ajabu ya kukiondolea credibility kitabu chake?
Kwa nini aweke fumbo at all?
Kwani anaimba taarabu? Au anajifunza kutongoza?
Ridiculous.
Kuna hadithi Na neno la mungu ,ukilijua hilo hakika utapingaaya zinapigana sana ,ipo inayosema huwezi kwenda mbinguni mpaka babake yesu akuvute,
tena nyingine yesu anasema kama jina lako halipo katika kitabu cha uzima kilichoandikwa hapo zamani za kale unapoteza mda huendi mbinguni ng'o,whatever mbinguni means.
Yaani usanii juu ya usanii