Ila mm msitikia sana mwaafrika ameacha kila kitu cha kwake na kila kitu ameshikiza kwa mungu na wakati huo huyo mungu hayupo.Nilitoa uzi wa maswali 20 kwa Mungu...nilijumuhisha hili ulilouliza....Kimsingi Mungu anahusishwa pale uelewa wa Mwanadamu unapofikia kikomo juu ya jambo flani....Nothing more!
Kazi kweli kweli....Mkuu ni uvivu wa kufikiri pamoja na utumwa wa kupenda na kuthamini vitu vya mzungu zaidi kuliko vyake.....Aliyeleta dini anawaletea na ushoga pia, sasa sijui wataweza kukataa maana wao hupokea kila kilicho cha mzungu.Ila mm msitikia sana mwaafrika ameacha kila kitu cha kwake na kila kitu ameshikiza kwa mungu na wakati huo huyo mungu hayupo.
Na hawa watu wanashindwa kutofautisha uongo na uharisia na yani wao litokee baya au zuri yote wanasema ni mipango ya mungu.
Waafrika ni watu ambao tunamatatizo mengi sana ilifaa ifike wakati haya maswala ya dini tungeyaweka pembeni kwanza tufanye msingi ambayo yanatuletea maendeleo.Kazi kweli kweli....Mkuu ni uvivu wa kufikiri pamoja na utumwa wa kupenda na kuthamini vitu vya mzungu zaidi kuliko vyake.....Aliyeleta dini anawaletea na ushoga pia, sasa sijui wataweza kukataa maana wao hupokea kila kilicho cha mzungu.
Kinachoniuma mpaka leo ni kuamini kitu bila kuchunguza source yake mfano wNatupinga sisi kwa kutaka tutete hoja zetu japo tunatetea kwa hoja nzito lakini wamekua wagumu kufanya uchunguzi wa mambo wanayobishia hahhaa nacheka sana kua yesu alipaa kwenda mbinguni huko mt mizeituni sasa, ni uwongo wa hali ya juu ukiwaukiza yesu dada zake na kaka zake waliishia wapi majibu hakuna wanaleta story za kusadikikawakati nipo sekondari kipindi hiko namfollow myahudi kuna jamaa aliniambia "ile kengele yenu ya kanisani naskiaga inalia wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga nioo, wajinga njoo.." huyu jamaa amehitimu chuo ana kazi, ana mtoto na ana mpango wa kuongeza mke wa pili"
sasa hawa wafuasi wa myahudi a.k.a "wazee wa kulaani" sijui watasemqje kuhusu hilo maana wameshaitwa wajinga na myahudi aliskia na jamaa anaendelea kula kuku kwa mrija..
Nimekua nikiwafuatilia hoja zenu kama observer tu ila nimekuona mara nyingi ukilirudia hili neno la mzungu anawadanganya.Kazi kweli kweli....Mkuu ni uvivu wa kufikiri pamoja na utumwa wa kupenda na kuthamini vitu vya mzungu zaidi kuliko vyake.....Aliyeleta dini anawaletea na ushoga pia, sasa sijui wataweza kukataa maana wao hupokea kila kilicho cha mzungu.
Mkuu nakuunga mkono kwa asilkmia mia kwamba tufanye kazi sababu imeandikwa asiyefanya kazi na asile maana yake afe.Waafrika ni watu ambao tunamatatizo mengi sana ilifaa ifike wakati haya maswala ya dini tungeyaweka pembeni kwanza tufanye msingi ambayo yanatuletea maendeleo.
Huko kwenyewe dini zilisha toka saizi hazina soko watu walisha gungndua dini ni utumwa.
na wakaamua kuachana nazo.
swali la nyongeza.. kabla yesu hajaanza kuhubiri akiwa na miaka 30, wakati ana miaka 29 na kushuka chini alikua anafanya nini?ukiwaukiza yesu dada zake na kaka zake waliishia wapi majibu hakuna wanaleta story za kusadikika
Mkuu linapokuja swala la chanzo cha uhai, siamini dini wala Darwinism.Mimi ni mfuasi wa ukweli, ndio maana natathimini nadharia zote ili kujua ukweli upo wapi.Nilichokifanya ni kubalance mada kwa kujaribu walau kuona kaukweli kwenye nadharia ya Darwin baada ya wafia dini kuweka hisia na unazi kwenye uumbaji na kuiponda Darwinism.Kumbuka hoja hupingwa kwa hoja na siyo chuki, watu walete evidences ili kutetea hoja zao.Mimi bado ni free observer/questioner, sina unazi maana shahidi hazijitoshelezi.Nimekua nikiwafuatilia hoja zenu kama observer tu ila nimekuona mara nyingi ukilirudia hili neno la mzungu anawadanganya.
Naomba nikuulize swali moja tu ndugu yangu hivi wewe unavyomuamini au tuseme unavyoikubali natharia ya Charles Darwin ambayo nimekusoma kule kwenye thread ya Mkuu REDEEMER. Kwani Charles Darwin ni muafrika?
Tuongee tu keep staarabu na kwa mpangilio kama great thinkers Charles Darwin ni muafrika?
Niongeza ya hapo kabla ya hao manabii wa biblia watu walikua wakiishijeswali ya nyongeza.. kabla yesu hajaanza kuhubiri akiwa na miaka 30, wakati ana miaka 29 na kushuka chini alikua anafanya nini?
Nimekuelewa sana ndugu yangu point yako kwamba upo neutral lakini ukweli ulionekana kuitetea na kuja na ushahidi kwamba natharia ya ndugu Charles ina ukweli hasa pale kwenye mambo ya DNA sitaki kukulazimisha uamini ninachosema sababu na mimi nitakuwa walewale ila kwa maana ya mtu alie neutral kwa muktadha wa chimbuko la mwanadamu huwa hawachangii popote wala hawakubali wals kupinga chochote.Mkuu linapokuja swala la chanzo cha uhai, siamini dini wala Darwinism.Mimi ni mfuasi wa ukweli, ndio maana natathimini nadharia zote ili kujua ukweli upo wapi.Nilichokifanya ni kubalance mada kwa kujaribu walau kuona kaukweli kwenye nadharia ya Darwin baada ya wafia dini kuweka hisia na unazi kwenye uumbaji na kuiponda Darwinism.Kumbuka hoja hupingwa kwa hoja na siyo chuki, watu walete evidences ili kutetea hoja zao.Mimi bado ni free observer/questioner, sina unazi maana shahidi hazijitoshelezi.
Kuhusu wazungu kuwaburuza waafrika ni kweli.Mtu akiona kitu kinatoka nje/kwa mzungu anakiona cha maana kuliko kile alichokuwanacho.Ndiyo maana tamaduni nyingi za kiafrika zimepotea sababu ya kushobokea za nje.Ona hata kwenye maisha ya kawaida, mtu anaona fahari kusema katoka Dubai ama HK kufanya shopping kuliko ambavyo angeona fahari ya kufanya hivyo K/ko😵na jinsi bidhaa za nje zinavyopendwa kuliko za TZ hata kama ni fake.
Kwa hiyo nielewe kwamba sina chuki na Mzungu bali sipendi kuweka unazi uliopitiliza kwenye jambo lisilo na ushahidi kisa tu kalileta mzungu.Dini au Darwinism wanaweza kuwa sawa, ila je uko wapi ushahidi???
Ifahamike tu kulikua na maisha ya imani kabla ya kuja kwa imani za wazunguMkuu linapokuja swala la chanzo cha uhai, siamini dini wala Darwinism.Mimi ni mfuasi wa ukweli, ndio maana natathimini nadharia zote ili kujua ukweli upo wapi.Nilichokifanya ni kubalance mada kwa kujaribu walau kuona kaukweli kwenye nadharia ya Darwin baada ya wafia dini kuweka hisia na unazi kwenye uumbaji na kuiponda Darwinism.Kumbuka hoja hupingwa kwa hoja na siyo chuki, watu walete evidences ili kutetea hoja zao.Mimi bado ni free observer/questioner, sina unazi maana shahidi hazijitoshelezi.
Kuhusu wazungu kuwaburuza waafrika ni kweli.Mtu akiona kitu kinatoka nje/kwa mzungu anakiona cha maana kuliko kile alichokuwanacho.Ndiyo maana tamaduni nyingi za kiafrika zimepotea sababu ya kushobokea za nje.Ona hata kwenye maisha ya kawaida, mtu anaona fahari kusema katoka Dubai ama HK kufanya shopping kuliko ambavyo angeona fahari ya kufanya hivyo K/ko😵na jinsi bidhaa za nje zinavyopendwa kuliko za TZ hata kama ni fake.
Kwa hiyo nielewe kwamba sina chuki na Mzungu bali sipendi kuweka unazi uliopitiliza kwenye jambo lisilo na ushahidi kisa tu kalileta mzungu.Dini au Darwinism wanaweza kuwa sawa, ila je uko wapi ushahidi???
Lengo la mimi kuwa neutral siyo kupinga kila hoja, bali ni kupata ukweli.Hivi unataka kusema kwenye Darwinism hakuna ukweli wowote? Hivi ni kweli kwamba Darwin alikuwa 100% mkosaji?......mimi nachambua hoja zote, za dini na za Darwin.Ninaangalia strengths na weakness kwenye kila hoja.Hoja zote kati ya hizo zina ukweli na mapungufu yake, ndiyo maana nipo wazi kujua ni ipi mbovu ama yenye nguvu kuliko nyingine.Nimekuelewa sana ndugu yangu point yako kwamba upo neutral lakini ukweli ulionekana kuitetea na kuja na ushahidi kwamba natharia ya ndugu Charles ina ukweli hasa pale kwenye mambo ya DNA sitaki kukulazimisha uamini ninachosema sababu na mimi nitakuwa walewale ila kwa maana ya mtu alie neutral kwa muktadha wa chimbuko la mwanadamu huwa hawachangii popote wala hawakubali wals kupinga chochote.
Kinyume na wewe unaeonekana kupinga imani ya kikristo na kuitetea natharia ya Darwinism.
Lakini hoja yangu ni kwamba unaitetea au tuseme unaichunguza natharia ya Charles wakati ni mzungu kitu ambacho kwako wewe ni mwiko kumuamini mzungu.
Awali nilithani wewe ni mfuasi wa dini za kiafrika African indigenous beliefs kwa namna ulivyokua unapinga vitu vya wazungu ila nikakosa jibu kukuona tena jana unatetea natharia ya mzungu huyohuyo unayetuasa tusimuamini.
Kwamba walitumia dini kutushika akili sioLengo la mimi kuwa neutral siyo kupinga kila hoja, bali ni kupata ukweli.Hivi unataka kusema kwenye Darwinism hakuna ukweli wowote? Hivi ni kweli kwamba Darwin alikuwa 100% mkosaji?......mimi nachambua hoja zote, za dini na za Darwin.Ninaangalia strengths na weakness kwenye kila hoja.Hoja zote kati ya hizo zina ukweli na mapungufu yake, ndiyo maana nipo wazi kujua ni ipi mbovu ama yenye nguvu kuliko nyingine.
Pia mimi siyo mpinzani wa mzungu kwa kila kitu, kuna vitu vyao vipo vizuri na vingine vibaya, kadhalika hata vya kiafrika.Ninapo sema sifuati dini ninamaanisha hata hizi za kiafrika kwani mimi siamini katika mizimu.
Tunatakiwa tuevaluate kila hoja ndipo tutakapopata ukweli na siyo kuweka unazi kwenye hoja flani na kuanza kuitetea kwa kuficha madhaifu yake na kupigia debe mema yake.
KILA NADHARIA INA NGUVU NA MADHAIFU YAKE, ILA NI IPI YENYE UKWELI ZAIDI YA NYINGINE???
Sawasawa kumbe unakubali hoja ya ndugu Charles haijalishi ni nusu au nzima ila unaikubali natharia yake.Lengo la mimi kuwa neutral siyo kupinga kila hoja, bali ni kupata ukweli.Hivi unataka kusema kwenye Darwinism hakuna ukweli wowote? Hivi ni kweli kwamba Darwin alikuwa 100% mkosaji?......mimi nachambua hoja zote, za dini na za Darwin.Ninaangalia strengths na weakness kwenye kila hoja.Hoja zote kati ya hizo zina ukweli na mapungufu yake, ndiyo maana nipo wazi kujua ni ipi mbovu ama yenye nguvu kuliko nyingine.
Pia mimi siyo mpinzani wa mzungu kwa kila kitu, kuna vitu vyao vipo vizuri na vingine vibaya, kadhalika hata vya kiafrika.Ninapo sema sifuati dini ninamaanisha hata hizi za kiafrika kwani mimi siamini katika mizimu.
Tunatakiwa tuevaluate kila hoja ndipo tutakapopata ukweli na siyo kuweka unazi kwenye hoja flani na kuanza kuitetea kwa kuficha madhaifu yake na kupigia debe mema yake.
KILA NADHARIA INA NGUVU NA MADHAIFU YAKE, ILA NI IPI YENYE UKWELI ZAIDI YA NYINGINE???
Mkuu una kichwa cha kuhoji jambo, lakini hawa ndugu wengine wanafuata jambo bila ya kujiuliza maswali.Dini ni serikali inayotawala watu....ni mfumo wa kudominate watu, kwenye dini kuna mambo ya ukatili usipime,....kuwapa watu vitisho na kuwatesa bure...hawa watu wa dini walichochea sana ukoloni pamoja na harakati za kuharibu tamaduni za kiafrika....mfano wanasema utumie majina yao kwani haya ya kiafrika ni ya kishetani na watu wanafuta blindly kabisa.....ukiwa mtu wa kudadisi inakuwa vigumu sana kufuata dini maana zina mambo mengi yasiyo na maana.Ifahamike tu kulikua na maisha ya imani kabla ya kuja kwa imani za wazungu
Lazima tuhoji kwanini dini zote zimetoka kwa watu weupe?? Msiniambie kwanini sioji technology aligundua mtu mweupe hapana sitawaelewa, walau mngesema kinachofanana na imani hasa hizi za kuabudu..
Swali kuu kama imani zao zilitokana na mungu kwanini wazee wetu waliaminishwa kwa kupigwa ikiwa waligoma kwenda kwenye nyumba za ibada??
Swali gumu zaidi wanasema mungu wao waliomleta anaujua mwisho tangu mwanzo ,sasa kama ni hivyo kulikua na haja gani ya kuumba ulimwengu ambao binadamu alikuaepo ndani yake na kuleta sheria kumi zilizo lenga kumshape binadamu aende heaven na huku alijua wapo watakaoshindwa kufata sheria hizo??
Nadhani hujaelewa mada....jaribu kuirudia taratibu hadi uelewe ninachomaanisha.Sawasawa kumbe unakubali hoja ya ndugu Charles haijalishi ni nusu au nzima ila unaikubali natharia yake.
Basi usiwashambulie waamini kwa kigezo cha race ya muanzilishi kama unavyosema daily kwamba waafrika tunakumnbatia uzungu bali pingana na waamini kwa hoja nyingine isiyoshabiiana na asili ya founders.
Asante.