Ni kweli Adam na Hawa waliishi miaka takribani 900?

Nilitoa uzi wa maswali 20 kwa Mungu...nilijumuhisha hili ulilouliza....Kimsingi Mungu anahusishwa pale uelewa wa Mwanadamu unapofikia kikomo juu ya jambo flani....Nothing more!
Ila mm msitikia sana mwaafrika ameacha kila kitu cha kwake na kila kitu ameshikiza kwa mungu na wakati huo huyo mungu hayupo.

Na hawa watu wanashindwa kutofautisha uongo na uharisia na yani wao litokee baya au zuri yote wanasema ni mipango ya mungu.
 
Kazi kweli kweli....Mkuu ni uvivu wa kufikiri pamoja na utumwa wa kupenda na kuthamini vitu vya mzungu zaidi kuliko vyake.....Aliyeleta dini anawaletea na ushoga pia, sasa sijui wataweza kukataa maana wao hupokea kila kilicho cha mzungu.
 
Waafrika ni watu ambao tunamatatizo mengi sana ilifaa ifike wakati haya maswala ya dini tungeyaweka pembeni kwanza tufanye msingi ambayo yanatuletea maendeleo.

Huko kwenyewe dini zilisha toka saizi hazina soko watu walisha gungndua dini ni utumwa.
na wakaamua kuachana nazo.
 
Kama Musa ndo kaandika kitabu cha mwanzo na kutoka pia na tunaamini vyote hivyo ikiwemo amri 10 za Mungu,kwnn inakua shida kuamini vitu vngne alivoandka,mm sioni kw nn iwe shida kwa adam na hawa kuishi umri huo since dhumuni la Mungu ilikua waishi milele,maamuzi ya Mungu binadamu aishi miaka 120 yalikuja baadae sana baada ya kuona uovu umezidi.
 
wakati nipo sekondari kipindi hiko namfollow myahudi kuna jamaa aliniambia "ile kengele yenu ya kanisani naskiaga inalia wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga nioo, wajinga njoo.." huyu jamaa amehitimu chuo ana kazi, ana mtoto na ana mpango wa kuongeza mke wa pili"

sasa hawa wafuasi wa myahudi a.k.a "wazee wa kulaani" sijui watasemaje kuhusu hilo maana wameshaitwa wajinga na myahudi aliskia na jamaa anaendelea kula kuku kwa mrija..
 
wakati nipo sekondari kipindi hiko namfollow myahudi kuna jamaa aliniambia "ile kengele yenu ya kanisani naskiaga inalia wajinga njoo, wajinga njoo, wajinga nioo, wajinga njoo.." huyu jamaa amehitimu chuo ana kazi, ana mtoto na ana mpango wa kuongeza mke wa pili"

sasa hawa wafuasi wa myahudi a.k.a "wazee wa kulaani" sijui watasemqje kuhusu hilo maana wameshaitwa wajinga na myahudi aliskia na jamaa anaendelea kula kuku kwa mrija..
Kinachoniuma mpaka leo ni kuamini kitu bila kuchunguza source yake mfano wNatupinga sisi kwa kutaka tutete hoja zetu japo tunatetea kwa hoja nzito lakini wamekua wagumu kufanya uchunguzi wa mambo wanayobishia hahhaa nacheka sana kua yesu alipaa kwenda mbinguni huko mt mizeituni sasa, ni uwongo wa hali ya juu ukiwaukiza yesu dada zake na kaka zake waliishia wapi majibu hakuna wanaleta story za kusadikika
 
Kazi kweli kweli....Mkuu ni uvivu wa kufikiri pamoja na utumwa wa kupenda na kuthamini vitu vya mzungu zaidi kuliko vyake.....Aliyeleta dini anawaletea na ushoga pia, sasa sijui wataweza kukataa maana wao hupokea kila kilicho cha mzungu.
Nimekua nikiwafuatilia hoja zenu kama observer tu ila nimekuona mara nyingi ukilirudia hili neno la mzungu anawadanganya.

Naomba nikuulize swali moja tu ndugu yangu hivi wewe unavyomuamini au tuseme unavyoikubali natharia ya Charles Darwin ambayo nimekusoma kule kwenye thread ya Mkuu REDEEMER. Kwani Charles Darwin ni muafrika?

Tuongee tu keep staarabu na kwa mpangilio kama great thinkers Charles Darwin ni muafrika?
 
Waafrika ni watu ambao tunamatatizo mengi sana ilifaa ifike wakati haya maswala ya dini tungeyaweka pembeni kwanza tufanye msingi ambayo yanatuletea maendeleo.

Huko kwenyewe dini zilisha toka saizi hazina soko watu walisha gungndua dini ni utumwa.
na wakaamua kuachana nazo.
Mkuu nakuunga mkono kwa asilkmia mia kwamba tufanye kazi sababu imeandikwa asiyefanya kazi na asile maana yake afe.

Lakini kwa upande mwingine naona haya mambo umeyachukulia serious sana unatakiwa ujue imani ni swala la binafsi kati ya mtu na anayemuamini hivyo haitakiwi kumuingilia mtu na imani yake lile ni swala lao wawili sasa ukisema zifutwe huoni kama utakua umemuingilia mtu kwenye mambo yake binafsi.

Sababu kama wewe huamini na hautaki kuamini sidhani kama yupo mtu atakushikia bunduki ufuate matakwa yake.

Mkuu imani zimekuwepo kuanzia mwanadamu ameanza kuishi ulimwenguni kuna wanaoamini wakienda kwa waganga watafanikiwa maishani kuna wanaoamini wakitoa rushwa watapata wakitakacho kunawanaoamini hakuna mwanaume au mwanamke mwaminifu duniani.

Wapo wanaamini hakuna mwanamke mrembo kama mke wake duniani me nathani kuamini kwake hakuna mwanamke mrembo kama mke wake duniani hakufanyi mke wangu kuwa na sura mbaya wala hakunizuii kuamini vinginevyo hiyo ni imani yake ameichagua siwezi kumuingilia na unaweza kumfata na kumuuliza kwanini.anaaamini.hivyo akakupa sababu nzuri tu.

Hivyo punguza uchungu na jazba naheshimu uamuzi wako ndugu yangu.
 
Nimekua nikiwafuatilia hoja zenu kama observer tu ila nimekuona mara nyingi ukilirudia hili neno la mzungu anawadanganya.

Naomba nikuulize swali moja tu ndugu yangu hivi wewe unavyomuamini au tuseme unavyoikubali natharia ya Charles Darwin ambayo nimekusoma kule kwenye thread ya Mkuu REDEEMER. Kwani Charles Darwin ni muafrika?

Tuongee tu keep staarabu na kwa mpangilio kama great thinkers Charles Darwin ni muafrika?
Mkuu linapokuja swala la chanzo cha uhai, siamini dini wala Darwinism.Mimi ni mfuasi wa ukweli, ndio maana natathimini nadharia zote ili kujua ukweli upo wapi.Nilichokifanya ni kubalance mada kwa kujaribu walau kuona kaukweli kwenye nadharia ya Darwin baada ya wafia dini kuweka hisia na unazi kwenye uumbaji na kuiponda Darwinism.Kumbuka hoja hupingwa kwa hoja na siyo chuki, watu walete evidences ili kutetea hoja zao.Mimi bado ni free observer/questioner, sina unazi maana shahidi hazijitoshelezi.

Kuhusu wazungu kuwaburuza waafrika ni kweli.Mtu akiona kitu kinatoka nje/kwa mzungu anakiona cha maana kuliko kile alichokuwanacho.Ndiyo maana tamaduni nyingi za kiafrika zimepotea sababu ya kushobokea za nje.Ona hata kwenye maisha ya kawaida, mtu anaona fahari kusema katoka Dubai ama HK kufanya shopping kuliko ambavyo angeona fahari ya kufanya hivyo K/ko😵na jinsi bidhaa za nje zinavyopendwa kuliko za TZ hata kama ni fake.

Kwa hiyo nielewe kwamba sina chuki na Mzungu bali sipendi kuweka unazi uliopitiliza kwenye jambo lisilo na ushahidi kisa tu kalileta mzungu.Dini au Darwinism wanaweza kuwa sawa, ila je uko wapi ushahidi???
 
Nimekuelewa sana ndugu yangu point yako kwamba upo neutral lakini ukweli ulionekana kuitetea na kuja na ushahidi kwamba natharia ya ndugu Charles ina ukweli hasa pale kwenye mambo ya DNA sitaki kukulazimisha uamini ninachosema sababu na mimi nitakuwa walewale ila kwa maana ya mtu alie neutral kwa muktadha wa chimbuko la mwanadamu huwa hawachangii popote wala hawakubali wals kupinga chochote.

Kinyume na wewe unaeonekana kupinga imani ya kikristo na kuitetea natharia ya Darwinism.

Lakini hoja yangu ni kwamba unaitetea au tuseme unaichunguza natharia ya Charles wakati ni mzungu kitu ambacho kwako wewe ni mwiko kumuamini mzungu.

Awali nilithani wewe ni mfuasi wa dini za kiafrika African indigenous beliefs kwa namna ulivyokua unapinga vitu vya wazungu ila nikakosa jibu kukuona tena jana unatetea natharia ya mzungu huyohuyo unayetuasa tusimuamini.
 
Ifahamike tu kulikua na maisha ya imani kabla ya kuja kwa imani za wazungu

Lazima tuhoji kwanini dini zote zimetoka kwa watu weupe?? Msiniambie kwanini sioji technology aligundua mtu mweupe hapana sitawaelewa, walau mngesema kinachofanana na imani hasa hizi za kuabudu..

Swali kuu kama imani zao zilitokana na mungu kwanini wazee wetu waliaminishwa kwa kupigwa ikiwa waligoma kwenda kwenye nyumba za ibada??

Swali gumu zaidi wanasema mungu wao waliomleta anaujua mwisho tangu mwanzo ,sasa kama ni hivyo kulikua na haja gani ya kuumba ulimwengu ambao binadamu alikuaepo ndani yake na kuleta sheria kumi zilizo lenga kumshape binadamu aende heaven na huku alijua wapo watakaoshindwa kufata sheria hizo??
 
Mpaka saivi natharia zipo mbili tu moja ni creationism na evolutionary na ikumbukwe evolutionary sio law bali ni theory.

Tofauti ya theory (thana) na law (hakiki) ni kwamba natharia ni kitu ambacho ni hisia au thanifu yaani mtu anasema huenda ikawa mwanadamu alitokana na kitu fulani sababu ya moja mbili tatu hivyo pia sio hakiki kwamaana ya uhakikia asilimia mia kwamba mwanadamu katokana na kiroboto au samaki.

Hivyo ndugu yangu unaposema upo neutral kama unaweza kuitetea natharia ya ndugu Charles uwe pia unatetea uumbaji vilevile hapo utakua kweli neutral.

Lakini sio unatetea natharia ya ndugu Charles (mzungu) na kuipinga ya uumbaji kwa kigezo tu cha uzungu hapo naamini utakua hujitendei haki wewe binafsi.

Asante.
 
Nimekuelewa sana ndugu yangu point yako kwamba upo neutral lakini ukweli ulionekana kuitetea na kuja na ushahidi kwamba natharia ya ndugu Charles ina ukweli hasa pale kwenye mambo ya DNA sitaki kukulazimisha uamini ninachosema sababu na mimi nitakuwa walewale ila kwa maana ya mtu alie neutral kwa muktadha wa chimbuko la mwanadamu huwa hawachangii popote wala hawakubali wals kupinga chochote.

Kinyume na wewe unaeonekana kupinga imani ya kikristo na kuitetea natharia ya Darwinism.

Lakini hoja yangu ni kwamba unaitetea au tuseme unaichunguza natharia ya Charles wakati ni mzungu kitu ambacho kwako wewe ni mwiko kumuamini mzungu.

Awali nilithani wewe ni mfuasi wa dini za kiafrika African indigenous beliefs kwa namna ulivyokua unapinga vitu vya wazungu ila nikakosa jibu kukuona tena jana unatetea natharia ya mzungu huyohuyo unayetuasa tusimuamini.
Lengo la mimi kuwa neutral siyo kupinga kila hoja, bali ni kupata ukweli.Hivi unataka kusema kwenye Darwinism hakuna ukweli wowote? Hivi ni kweli kwamba Darwin alikuwa 100% mkosaji?......mimi nachambua hoja zote, za dini na za Darwin.Ninaangalia strengths na weakness kwenye kila hoja.Hoja zote kati ya hizo zina ukweli na mapungufu yake, ndiyo maana nipo wazi kujua ni ipi mbovu ama yenye nguvu kuliko nyingine.

Pia mimi siyo mpinzani wa mzungu kwa kila kitu, kuna vitu vyao vipo vizuri na vingine vibaya, kadhalika hata vya kiafrika.Ninapo sema sifuati dini ninamaanisha hata hizi za kiafrika kwani mimi siamini katika mizimu.

Tunatakiwa tuevaluate kila hoja ndipo tutakapopata ukweli na siyo kuweka unazi kwenye hoja flani na kuanza kuitetea kwa kuficha madhaifu yake na kupigia debe mema yake.

KILA NADHARIA INA NGUVU NA MADHAIFU YAKE, ILA NI IPI YENYE UKWELI ZAIDI YA NYINGINE???
 
kwa tunao amini uwepo wa MwenyeziMungu ni kwamba, watu wa zamani waliishi miaka mingi na pia walikuwa na maumbo makubwa sana. ila kadri karne zinavyozidi kusogea ndivyo umri wa kuishi unapungua pamoja na maumbile ya binadamu yalipungua ndio mpaka sisi tumefikia hatua hii na sisi ndio kizazi cha mwisho, hakuna kitakachokuja tena.
ukienda misri kuangalia ule mwili wa Firauni utaona umbo lake ni tofauti kabisa na maumbo ya binadam wa sasa.
 
Lengo la mimi kuwa neutral siyo kupinga kila hoja, bali ni kupata ukweli.Hivi unataka kusema kwenye Darwinism hakuna ukweli wowote? Hivi ni kweli kwamba Darwin alikuwa 100% mkosaji?......mimi nachambua hoja zote, za dini na za Darwin.Ninaangalia strengths na weakness kwenye kila hoja.Hoja zote kati ya hizo zina ukweli na mapungufu yake, ndiyo maana nipo wazi kujua ni ipi mbovu ama yenye nguvu kuliko nyingine.

Pia mimi siyo mpinzani wa mzungu kwa kila kitu, kuna vitu vyao vipo vizuri na vingine vibaya, kadhalika hata vya kiafrika.Ninapo sema sifuati dini ninamaanisha hata hizi za kiafrika kwani mimi siamini katika mizimu.

Tunatakiwa tuevaluate kila hoja ndipo tutakapopata ukweli na siyo kuweka unazi kwenye hoja flani na kuanza kuitetea kwa kuficha madhaifu yake na kupigia debe mema yake.

KILA NADHARIA INA NGUVU NA MADHAIFU YAKE, ILA NI IPI YENYE UKWELI ZAIDI YA NYINGINE???
Kwamba walitumia dini kutushika akili sio
 
Sawasawa kumbe unakubali hoja ya ndugu Charles haijalishi ni nusu au nzima ila unaikubali natharia yake.

Basi usiwashambulie waamini kwa kigezo cha race ya muanzilishi kama unavyosema daily kwamba waafrika tunakumnbatia uzungu bali pingana na waamini kwa hoja nyingine isiyoshabiiana na asili ya founders.

Asante.
 
Ifahamike tu kulikua na maisha ya imani kabla ya kuja kwa imani za wazungu

Lazima tuhoji kwanini dini zote zimetoka kwa watu weupe?? Msiniambie kwanini sioji technology aligundua mtu mweupe hapana sitawaelewa, walau mngesema kinachofanana na imani hasa hizi za kuabudu..

Swali kuu kama imani zao zilitokana na mungu kwanini wazee wetu waliaminishwa kwa kupigwa ikiwa waligoma kwenda kwenye nyumba za ibada??

Swali gumu zaidi wanasema mungu wao waliomleta anaujua mwisho tangu mwanzo ,sasa kama ni hivyo kulikua na haja gani ya kuumba ulimwengu ambao binadamu alikuaepo ndani yake na kuleta sheria kumi zilizo lenga kumshape binadamu aende heaven na huku alijua wapo watakaoshindwa kufata sheria hizo??
Mkuu una kichwa cha kuhoji jambo, lakini hawa ndugu wengine wanafuata jambo bila ya kujiuliza maswali.Dini ni serikali inayotawala watu....ni mfumo wa kudominate watu, kwenye dini kuna mambo ya ukatili usipime,....kuwapa watu vitisho na kuwatesa bure...hawa watu wa dini walichochea sana ukoloni pamoja na harakati za kuharibu tamaduni za kiafrika....mfano wanasema utumie majina yao kwani haya ya kiafrika ni ya kishetani na watu wanafuta blindly kabisa.....ukiwa mtu wa kudadisi inakuwa vigumu sana kufuata dini maana zina mambo mengi yasiyo na maana.
 
Sawasawa kumbe unakubali hoja ya ndugu Charles haijalishi ni nusu au nzima ila unaikubali natharia yake.

Basi usiwashambulie waamini kwa kigezo cha race ya muanzilishi kama unavyosema daily kwamba waafrika tunakumnbatia uzungu bali pingana na waamini kwa hoja nyingine isiyoshabiiana na asili ya founders.

Asante.
Nadhani hujaelewa mada....jaribu kuirudia taratibu hadi uelewe ninachomaanisha.
 
Back
Top Bottom