hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Ila mm msitikia sana mwaafrika ameacha kila kitu cha kwake na kila kitu ameshikiza kwa mungu na wakati huo huyo mungu hayupo.Nilitoa uzi wa maswali 20 kwa Mungu...nilijumuhisha hili ulilouliza....Kimsingi Mungu anahusishwa pale uelewa wa Mwanadamu unapofikia kikomo juu ya jambo flani....Nothing more!
Na hawa watu wanashindwa kutofautisha uongo na uharisia na yani wao litokee baya au zuri yote wanasema ni mipango ya mungu.