Mkuu Una Nyota ya Kimombasa.... kuwa makini... Mwambie akutumie Picha yake ukiwa unataka kulala unaitizama kwanza...Nampenda huyu Great Thinker REDEEMER. Sababu habishani Bali anatoa mchango ametulia kwenye hoja na anatoa facts kama nafananishwa nae basi swadakta what a treasure to look like Greater Thinker!!!
Asante.
Hapana ndugu labda kama mnachukulia haya mambo serious lakini Mimi naona in mambo ya kawaida sana kupingwa imani haijaanza karne hii walikuepo na wanaondoka wanaiacha.tu inaendelea na wanazaliwa wengine wanaipinga wengine wanaiamini.Mkuu Una Nyota ya Kimombasa.... kuwa makini... Mwambie akutumie Picha yake ukiwa unataka kulala unaitizama kwanza...
tukienda kwa nadharia ya kimungumungu, kwa ufahamu wako, unaamini watakaoenda mbinguni ni wakristo pekee?Wenye dhambi zidini kutenda dhambi na watakatifu zidini kuwa watakatifu it's all about freedom.
Asante.
Ndugu nafikiri majibu mazuri yapo kwenye Biblia sababu mule yameandikwa yote anapashwa kuyafuata anayetaka kwenda mbinguni pamoja na zile ten commandments hivyo inaniwia vigumu kwa mimi kuyasema mojamoja sababu Biblia imeyaandika yote kwa kina.tukienda kwa nadharia ya kimungumungu, kwa ufahamu wako, unaamini watakaoenda mbinguni ni wakristo pekee?
mmekua mkilalamika kwamba sisi hatuijui biblia, sasa huoni budi kunifundisha? unaacha kondoo wa bwana apotee hivi hivi? nifundishe mkuu nielewe labda nimekengeuka.Ndugu nafikiri majibu mazuri yapo kwenye Biblia sababu mule yameandikwa yote anashwa kuyafuata anayetaka kwenda mbinguni pamoja na zile ten commandments hivyo inaniwia vigumu kwa mimi kuyasema mojamoja sababu Biblia imeyaandika yote kwa kina.
Asante.
Ndugu yangu umenichekesha sana.mmekua mkilalamika kwamba sisi hatuijui biblia, sasa huoni budi kunifundisha? unaacha kondoo wa bwana apotee hivi hivi? nifundishe mkuu nielewe labda nimekengeuka.
Hahaha...Cc: KirangaNafunga Roho ya atheism ktk jina la Yesu.
Acha kujitangazia kuwa unampenda Mwanaume humu... ati anandika vizuri...Hapana ndugu labda kama mnachukulia haya mambo serious lakini Mimi naona in mambo ya kawaida sana kupingwa imani haijaanza karne hii walikuepo na wanaondoka wanaiacha.tu inaendelea na wanazaliwa wengine wanaipinga wengine wanaiamini.
Usichukulie haya mambo seriously you won't enjoy oxygen if your choice atheism make the most of it and believers also should make the most of believing ndivyi Bible yasema.
Wenye dhambi zidini kutenda dhambi na watakatifu zidini kuwa watakatifu it's all about freedom.
Asante.
We mchungaji Illovo, tuoneshe mahali katika Biblia palipoandikwa Kila Nafsi itaonja mauti.Ww ndo mwongo,,,,,na biblia imesema pia kila nafs itaonja mauti,,,,,,sasa cjui unabisha???????
kweli mkuu, nifundishe na mimi nijirudi mwisho wa siku tufaidi wote matunda ya mbinguni.. hivi ni kweli mbinguni wanaenda wakristo tu?Ndugu yangu umenichekesha sana.
I am PhilanthropistAcha kujitangazia kuwa unampenda Mwanaume humu... ati anandika vizuri...
Ndugu kama unamaanisha kweli pitia hapakweli mkuu, nifundishe na mimi nijirudi mwisho wa siku tufaidi wote matunda ya mbinguni.. hivi ni kweli mbinguni wanaenda wakristo tu?
i have been thru that stuff, na hio ipo tofauti kabisa na swali langu.Ndugu kama unamaanisha kweli pitia hapa
How do I accept Jesus as my Savior?
this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.I am Philanthropist
Nope that has nothing to do with any affiliation that is way of living loving humanity it's some kind of humanitarianism you may live humanity inside your compound the rest of your life.this is the major problem.. everyone wants to belong to a certain kind of group.. how about you abandon all the groups, become a human being again and let nature take care of everything.
Mimi nina Imani sawasawa kabisa na yako. Tujiulize tu haya maswali:-sijakana uwepo wa mungu, ila uwepo wa mungu huyu wa kikristo, there's no way you can tell me wazee wangu na mababu wote wa kiafrika waliofariki kabla ya kuja kwa ukristo wapo motoni kisa hawakumjua yesu alieletwa na mkoloni.
hapo umenena, sasa vipi lile swali langu hapo juu?Nope that has nothing to do with any affiliation that is way of living loving humanity it's some kind of humanitarianism you may live humanity inside your compound the rest of your life.
But also live with people sharing and cheering all together is stunning.
Ukweli ni kwamba kuna principal nimejiwekea nikiivunja sitajitendea haki nafsi yangu.hapo umenena, sasa vipi lile swali langu hapo juu?
kwenye nyumba zao za dini wameshaogopeshwa, kwa hio kuzungumza hapa hata mambo ambayo wanaona ni ndivyo sivyo wanaogopa..Kwanza siamini DINI yoyote kama dini.
3) Au je anayejiita mkristo, angezaliwa katika uislamu je angekubali kumfuata Yesu?
Kuna watu wana bongo ila hawazitumii kufikiria.