kwakeli dhana ya mbinguni,ambapo ndo yuko Mungu inatokana na imani za zamani maeneo ya caanan,wao kwa mfano waliamini kuna miungu ya kila kitu,mfano jehova alikuwa mungu wa vita,ndo maana utasikia neno bwana wa majeshi,simba wa yuda,
sasa miongoni mwao alikuwepo mungu wa milima,the most high,ambae walimregard kama ndo mungu mkuu,alijulikana kama El.
So utaona hata moses akitaka kuongea na mungu wao ilibidi aende mlimani,hata yesu alipanda mlima kwenda kusali huko,
hata watu wa babel walijenga mnara mrefu ili wamfikie mungu,so asili ya kuamini mungu yuko juu haikuanza na dini za kileo