Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

Librarian 105

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
356
Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo.

Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri.

Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine ziko poor and so on.

Nasita kukubali Arusha kuitwa Geneva of Africa.
 
Concept ya Geneva sio barabara, ila wasifu wa shughuli za ki Diplomasia, Haki na Mahakama, muulizege vitu kabla ya kuongea hewa
 
Mademu wa Arusha hao
20230610_170234.jpg
 
Kwenye barabara hapo UMENIGUSA..kiukweli wakazi wa Kijenge Mwanama,ni kama watoto YATIMA.

Barabara ya Kijenge- Mwanama-Kibaoni- Engutoto ni mbaya balaa..Wenye ViFORD wameleta vile vilivyochoka haswa na ni vichache..unaweza kaa stendi hata masaa mawili hakuna gari.

Hii imesababisha wanafunzi kuchelewa kufika shuleni,wafanyakazi kuchelewa makazini,wagonjwa ndio usiseme LICHA ya kuwepo kwa Kituo cha Afya Moshono bila kusahau kituo cha Afya cha Dr Bemba.

Cha kusikitisha wenzetu wa Kijenge PPF wao lami imeingizwa hadi ndani,yaani kama nchi mbili tofauti.

Nikuombe Mh Mbunge,uikumbushe TARURA kuimalizia hii barabara toka hapa hapa KONA hadi huku Viwandani Engutoto

Mwisho hii barabara ya Pepsi hadi geti la kuingilia PPF Kijenge,badala ya kuishia hapo geti kwa maFOGO iendelezwe hadi huku mbele,kituo cha Afya Moshono ikutane na barabara ya Moshono- Chekereni
 
Concept ya Geneva sio barabara, ila wasifu wa shughuli za ki Diplomasia, Haki na Mahakama, muulizege vitu kabla ya kuongea hewa
shughuli za kidiplomasia na haki za kimahakama?! Hebu fikiria nje ya box mkuu!
Uliyoyata yote hayana manufaa kwa wakazi wake zaidi ya kuambiwa ni fursa za kiuchumi na kibiashara "za mikutano hiyo kidiplomasia" umoja wa africa au jumuiya ya kimataifa ama shirikisho la east africa. Bada ya hapo.. Nothing at all!!
 
Kwenye barabara hapo UMENIGUSA..kiukweli wakazi wa Kijenge Mwanama,ni kama watoto YATIMA.

Barabara ya Kijenge- Mwanama-Kibaoni- Engutoto ni mbaya balaa..Wenye ViFORD wameleta vile vilivyochoka haswa na ni vichache..unaweza kaa stendi hata masaa mawili hakuna gari.

Hii imesababisha wanafunzi kuchelewa kufika shuleni,wafanyakazi kuchelewa makazini,wagonjwa ndio usiseme LICHA ya kuwepo kwa Kituo cha Afya Moshono bila kusahau kituo cha Afya cha Dr Bemba.

Cha kusikitisha wenzetu wa Kijenge PPF wao lami imeingizwa hadi ndani,yaani kama nchi mbili tofauti.

Nikuombe Mh Mbunge,uikumbushe TARURA kuimalizia hii barabara toka hapa hapa KONA hadi huku Viwandani Engutoto

Mwisho hii barabara ya Pepsi hadi geti la kuingilia PPF Kijenge,badala ya kuishia hapo geti kwa maFOGO iendelezwe hadi huku mbele,kituo cha Afya Moshono ikutane na barabara ya Moshono- Chekereni
ukiwa njiro jioni unataka urudi mjini hakuna usafiri wa uhakika. Inatakiwa tupige kelele huu ujinga uishe
 
Back
Top Bottom