uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
shughuli za kidiplomasia na haki za kimahakama?! Hebu fikiria nje ya box mkuu!
Uliyoyata yote hayana manufaa kwa wakazi wake zaidi ya kuambiwa ni fursa za kiuchumi na kibiashara "za mikutano hiyo kidiplomasia" umoja wa africa au jumuiya ya kimataifa ama shirikisho la east africa. Bada ya hapo.. Nothing at all!!
Akili ni changamoto, hatuongelei manufaa ya wananchi, Mimi nimeongea fact, hayo mengine mjadiliane huko.
Hemu uliza nchi yeyote Africa ambayo imekuwa na hazi ya kuhodhi mahakama ya Umoja wa mataifa, halafu ujijibu.
Hemu jiulize wakati wa hiyo Mahakama watu wa maeneo ya Njiro, na sehemu nyingine walivyokuwa wanapata biashara kutokana na uwepo wa hao staff.
Nyumba zilikuwa nazishikiki na ni kwa dollar, sasa hayo mengine yakwako ni trash, sijui hakuna barabara, ni trash na hayanihusu kabisa.
Fact:
Kwa nini imeitwa hivyo, hiyo ndo sababu.