Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
huko sijawahi kufika na siwezi kupahukumu kwa lolote
Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo.
Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri.
Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine ziko poor and so on.
Nasita kukubali Arusha kuitwa Geneva of Africa.
Kitu kinaniboa Arusha nikipanda ivyo vi Hiace aiseee dah vidogo knoma km mrefu unatoka kibiongoJiniva kuna vi-hiace vya kukunja mgongo kama chuga
Nilikuwa natafuta comment ya aina hii🤜🏽🤜🏽Concept ya Geneva sio barabara, ila wasifu wa shughuli za ki Diplomasia, Haki na Mahakama, muulizege vitu kabla ya kuongea hewa
shughuli za kidiplomasia na haki za kimahakama?! Hebu fikiria nje ya box mkuu!Concept ya Geneva sio barabara, ila wasifu wa shughuli za ki Diplomasia, Haki na Mahakama, muulizege vitu kabla ya kuongea hewa
nshatoka uko mkuuShekhe waijua Geneva wewe.
Toa hayo mawazo ya Julius
ukiwa njiro jioni unataka urudi mjini hakuna usafiri wa uhakika. Inatakiwa tupige kelele huu ujinga uisheKwenye barabara hapo UMENIGUSA..kiukweli wakazi wa Kijenge Mwanama,ni kama watoto YATIMA.
Barabara ya Kijenge- Mwanama-Kibaoni- Engutoto ni mbaya balaa..Wenye ViFORD wameleta vile vilivyochoka haswa na ni vichache..unaweza kaa stendi hata masaa mawili hakuna gari.
Hii imesababisha wanafunzi kuchelewa kufika shuleni,wafanyakazi kuchelewa makazini,wagonjwa ndio usiseme LICHA ya kuwepo kwa Kituo cha Afya Moshono bila kusahau kituo cha Afya cha Dr Bemba.
Cha kusikitisha wenzetu wa Kijenge PPF wao lami imeingizwa hadi ndani,yaani kama nchi mbili tofauti.
Nikuombe Mh Mbunge,uikumbushe TARURA kuimalizia hii barabara toka hapa hapa KONA hadi huku Viwandani Engutoto
Mwisho hii barabara ya Pepsi hadi geti la kuingilia PPF Kijenge,badala ya kuishia hapo geti kwa maFOGO iendelezwe hadi huku mbele,kituo cha Afya Moshono ikutane na barabara ya Moshono- Chekereni