Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

Hajui Arusha huyo kwa miaka 15 au20 hivi shughuli za mashirika haya ya kimataifa yalifanya Arusha kuwa ghali sana haswa malazi na nyumba na maeneo ya burudani starehe. Back then njiro yalikuwa mashamba ya mahindi matupu after 2003/04/05 up to now pakaanza kujengeka kwa kasi
 
Hapo Cinema njiro complex
Ah! Ni papya au?? Pako kwa wapi?

Nilikuwa naenda hapo Mumbai restaurant sana na ile ATM ya CRDB. Kuna wakati nilikuwa kila nikienda napata hela mpya 😂 ikawa ATM pendwa kwa muda
 
Ah! Ni papya au?? Pako kwa wapi?

Nilikuwa naenda hapo Mumbai restaurant sana na ile ATM ya CRDB. Kuna wakati nilikuwa kila nikienda napata hela mpya [emoji23] ikawa ATM pendwa kwa muda
Ipo ghorofani kama unapanda ngazi upande wa kulia usawa wa geti la gari zinapotokea utaona kwa juu pameandikwa El Toro.
 
Ipo ghorofani kama unapanda ngazi upande wa kulia usawa wa geti la gari zinapotokea utaona kwa juu pameandikwa El Toro.
Uwa naishia chini siku zote. Wana vyakula vizuri? Ni lounge, bar or restaurant?
 
Hilo Neno lilisababishwa na Hali ya hewa(climate) Otherwise Hakuna lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…