Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa Mzizima, bandari salama naam ndio Dar es salaam. Ndio msingi mkuu wa chama cha CCM ambapo kilikuwa Mjukuu wa TAA kisha Babaake ni TANU.
Watoto wa mjini wenye chama chake Vs walugaluga walioalikwa lakini nao hujiona chama ni chao.
Ngoja tuone.
Nawatakia Sabato Njema