Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.

Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.

1712393029870.png

Hapo unaona kijiwe cha Gahawa ?; au chochote kinachoonyesha Umjini ?

Thus hapana CCM sio Chama cha watu wa Mijini..., Chama cha Majambazi / Matapeli Maybe sabubu kinachofanyika ni ulaghai kwa peasants and workers
 
Kwema Wakuu!

Watoto wa Mzizima, bandari salama naam ndio Dar es salaam. Ndio msingi mkuu wa chama cha CCM ambapo kilikuwa Mjukuu wa TAA kisha Babaake ni TANU.

Watoto wa mjini wenye chama chake Vs walugaluga walioalikwa lakini nao hujiona chama ni chao.

Ngoja tuone.

Nawatakia Sabato Njema
Duh...!, haya mambo ya kuanza kuitana Walugaluga...
P
 
Halafu mlalamikaji mkuu utakuta hajalipa kodi ya nyumba ada za shule ........

Haya mambo ya mpira yamewatoa watu katika kujushughulisha na mambo ya maana.

Tunalipa mamilion ya fedha magoli lakini hapo hapo watoto hawana madawati.

Aliyewaloga watanganyika kesha kufa.
Kizimkazi ni Tanganyika?
 
Tufanyaje mkuu?
Tuache kukimbizana na masuala madogo madogo ambayo hayana athari kubwa kwa vizazi vya sasa na baadae.Tujikite katika kutazama kwa kina maslahi ya nchi kama vile Misitu yetu,Ardhi yetu,Bandari zetu na Rasilimali zetu.

Haya mambo ya Simba na Yanga hayapaswi kuchukua muda wetu mkubwa,tunaweza kujadili ndani ya saa moja inatosha lakini masuala ya Bandari yanapaswa kujadiliwa katika siku zetu ambazo Mungu katupatia pumzi.
 
Umeongea jambo ambalo sijawahi kulisoma wala kufundishwa shuleni
Kutokana na namna upembuzi wowote wa yale yalojiri miaka ile, kwa maana hostoria yake na haya tunayopitila leo ni kwamba ukweli unabakia pale pale kuhusu dhana ya "UONGOZI". Hatutatoboa milele chini ya UONGOZI usiofaa. Binafsi naweza kukiri kwamba "WATO WA MJINI' hawafai kumilikishwa mustakabali wa nyika yoyote ile. Mtu hana hata chembe ya moral outhority halafu amwongoze nani?

Sera bora, uongozo bora, ... na WATU!
 
Ila kauli za Jana alooo.. mara watoto wa kariakoo.. mara watoto wa ocean road
Mkuu nilikuwa busy na Simba na Yanga , naomba weka nyama kidogo ya zile 5Ws ili nami nipate kuelewa.
 
Uchaguzi ukifanyika watafurahishwa ,zama zimebadilika sana, mda ni mwalim mzuri
-mnapigwa tu, kanya boya wa mjini wa mjini, wa shamba wa shamba tu,
Mwl, aliwahi toa mfano wa kichupa, unapewa kichupa, almasi inaondoka!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Hii ni ishara kwamba washamba (walugaluga) sasa basi!

Never and never again!
 
Halafu mlalamikaji mkuu utakuta hajalipa kodi ya nyumba ada za shule ........

Haya mambo ya mpira yamewatoa watu katika kujushughulisha na mambo ya maana.

Tunalipa mamilion ya fedha magoli lakini hapo hapo watoto hawana madawati.

Aliyewaloga watanganyika kesha kufa.
Yaani ni purukushani sasa shida ukiaminiwa na wanakijiji ni shida sana kila kijiwe nikipita lazima niitwe ili nifanye clarification.
Mpka anafika kazini nimesimama vituo vinne wanaomba niwaeleze uhalisia wa lile goal na CCM kuwapa watiyo wa mjini Chama.
Hapa nipo kazini ila nina mialiko minne yote inaniomba kijiweni kuna jambo nikawaeleze kwa uzuri 🤔
 
Hii nyika haikustahili kupewa uhuru wa bendera mapema ile "watoto wa mzizima" na washirika wao wa kil-lugaluga walivyoingizwa kingi na mwingereza kukubali tarehe ile ya Dec 9, 1961. Hivi mnajua kwamba Januari 1962 mishahara ya watumishi ilikua hakuna? Alikopwa nani? Mwingereza huyo huyo na kwa masharti.
Yule mkweli aliwaambia .... baada ya Waingereza kuiba sana Tanganyika bila kufanya lolote lile (infrastructure alijenga Jarumani) wangebakia na kujenga institutions kwanza ... n.k. Matokeo yake na hadi leo 'waswahili' humnyooshea kidole yule mchumi kiwango cha uzamili (London School of Economics na Cambridge) ati kwamba ... bla bla .. bla! Matokeo yake sasa ndo hayoo .... mwenye macho na atazame
Alaa kumbe !!!
 
Back
Top Bottom