Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ila kauli za Jana alooo.. mara watoto wa kariakoo.. mara watoto wa ocean road.
Sasa hii ni namna gani?
WenzΓ o wakipigania uhuru wao wΓ likuwa wapi?Yaani toka asubuhi vijiwe vya hapa kijijini watu wamejazana wanalalamika Yanga kunyimwa goli na wengine wanasema CCM imekosa viongozi kwa kuwapa watu wanajiita wa mjini kiasi kuwa wanakijiji wanasema hao watu hawashindwi kuwaibia hela za chama π
Halafu mlalamikaji mkuu utakuta hajalipa kodi ya nyumba ada za shule ........Yaani toka asubuhi vijiwe vya hapa kijijini watu wamejazana wanalalamika Yanga kunyimwa goli na wengine wanasema CCM imekosa viongozi kwa kuwapa watu wanajiita wa mjini kiasi kuwa wanakijiji wanasema hao watu hawashindwi kuwaibia hela za chama π
Halafu mlalamikaji mkuu utakuta hajalipa kodi ya nyumba ada za shule ........
Haya mambo ya mpira yamewatoa watu katika kujushughulisha na mambo ya maana.
Tunalipa mamilion ya fedha magoli lakini hapo hapo watoto hawana madawati.
Aliyewaloga watanganyika kesha kufa.
kwa hiyo mimi kutoka meru ninaonekana mrugaruga wakuja hapo chama chakavu nikijaribu kujiingiza? dah!Watoto wa Mzizima chama chao ndio kiliibuka kidedea kuletea uhuru Tanganyika. Kwamba wao ndio waliwazidi ujanja vyama vingine ikiwemo vilivyokuwa vya walugaluga
Uzuri kipindi nyerere anaalikwa ....watoto wa mjini waliulizwa na mwingireza vijana wa mjini ili tuwaachie nchi lazima muwe na elimu sio elimu ya madrasa ni elimu dunia.....vijana wa mjini enzi hizo ndo kumtafuta nyerere sasa kutoka puguKwema Wakuu!
Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa Mzizima, bandari salama naam ndio Dar es salaam. Ndio msingi mkuu wa chama cha CCM ambapo kilikuwa Mjukuu wa TAA kisha Babaake ni TANU.
Watoto wa mjini wenye chama chake Vs walugaluga walioalikwa lakini nao hujiona chama ni chao.
Ngoja tuone.
Nawatakia Sabato Njema
kwa hiyo mimi kutoka meru ninaonekana mrugaruga wakuja hapo chama chakavu nikijaribu kujiingiza? dah!
ππππππ
CCM chama cha kijanja!
Uzuri kipindi nyerere anaalikwa ....watoto wa mjini waliulizwa na mwingireza vijana wa mjini ili tuwaachie nchi lazima muwe na elimu sio elimu ya madrasa ni elimu dunia.....vijana wa mjini enzi hizo ndo kumtafuta nyerere sasa kutoka pugu
Kiukweli umesema ukweli kuwa ni chama cha watoto wa mjini ila watoto wa mjini wengi wao wanafanya CCM ibaki nyuma kama ilivyo kama mikoa yote inayopakana na bahari ya hindi ukiondoa dar es salaam
Na watoto wengi wa mjini ni waumini wa "proud to be" so hata wakielimika vipi elimu huwa haikamati kichwani vizuri
Uchaguzi ukifanyika watafurahishwa ,zama zimebadilika sana, mda ni mwalim mzuriKwema Wakuu!
Kauli zinazotolewa na viongozi mbalimbali wakijitamba kuwa wao ni watoto wa mjini, wengine wakisema wamezaliwa Kariakoo, wengine, Ocean road, wengine mnazi mmoja, wengine Kinondoni basi ilimradi kila mmoja ajitutumue. Ndio ukweli huo. Kauli hiyo inamaana kubwa sana. Watoto wa Mzizima, bandari salama naam ndio Dar es salaam. Ndio msingi mkuu wa chama cha CCM ambapo kilikuwa Mjukuu wa TAA kisha Babaake ni TANU.
Watoto wa mjini wenye chama chake Vs walugaluga walioalikwa lakini nao hujiona chama ni chao.
Ngoja tuone.
Nawatakia Sabato Njema
Hii nyika haikustahili kupewa uhuru wa bendera mapema ile "watoto wa mzizima" na washirika wao wa kil-lugaluga walivyoingizwa kingi na mwingereza kukubali tarehe ile ya Dec 9, 1961. Hivi mnajua kwamba Januari 1962 mishahara ya watumishi ilikua hakuna? Alikopwa nani? Mwingereza huyo huyo na kwa masharti.Watoto wa Mzizima chama chao ndio kiliibuka kidedea kuletea uhuru Tanganyika. Kwamba wao ndio waliwazidi ujanja vyama vingine ikiwemo vilivyokuwa vya walugaluga
Uchaguzi ukifanyika watafurahishwa ,zama zimebadilika sana, mda ni mwalim mzuri
Hii nyika haikustahili kupewa uhuru wa bendera mapema ile "watoto wa mzizima" na washirika wao wa kil-lugaluga walivyoingizwa kingi na mwingereza kukubali tarehe ile ya Dec 9, 1961. Hivi mnajua kwamba Januari 1962 mishahara ya watumishi ilikua hakuna? Alikopwa nani? Mwingereza huyo huyo na kwa masharti.
Yule mkweli aliwaambia .... baada ya Waingereza kuiba sana Tanganyika bila kufanya lolote lile (infrastructure alijenga Jarumani) wangebakia na kujenga institutions kwanza ... n.k. Matokeo yake na hadi leo 'waswahili' humnyooshea kidole yule mchumi kiwango cha uzamili (London School of Economics na Cambridge) ati kwamba ... bla bla .. bla! Matokeo yake sasa ndo hayoo .... mwenye macho na atazame
Kama hujui na mimi sijui mkuu soma nilichoandika hujaelewa lala mbeleUchaguzi wa nini Mkuu?
Kama hujui na mimi sijui mkuu soma nilichoandika hujaelewa lala mbele