Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.


Hapo unaona kijiwe cha Gahawa ?; au chochote kinachoonyesha Umjini ?

Thus hapana CCM sio Chama cha watu wa Mijini..., Chama cha Majambazi / Matapeli Maybe sabubu kinachofanyika ni ulaghai kwa peasants and workers
 
View attachment 2955415
Hapo unaona kijiwe cha Gahawa ?; au chochote kinachoonyesha Umjini ?

Thus hapana CCM sio Chama cha watu wa Mijini..., Chama cha Majambazi / Matapeli Maybe sabubu kinachofanyika ni ulaghai kwa peasants and workers

Babu yake CCM ambaye ni TAA na Babaake ambaye ni TANU wote ni watoto wa Mjini
 
Duh...!, haya mambo ya kuanza kuitana Walugaluga...
P
 
Kizimkazi ni Tanganyika?
 
Tufanyaje mkuu?
Tuache kukimbizana na masuala madogo madogo ambayo hayana athari kubwa kwa vizazi vya sasa na baadae.Tujikite katika kutazama kwa kina maslahi ya nchi kama vile Misitu yetu,Ardhi yetu,Bandari zetu na Rasilimali zetu.

Haya mambo ya Simba na Yanga hayapaswi kuchukua muda wetu mkubwa,tunaweza kujadili ndani ya saa moja inatosha lakini masuala ya Bandari yanapaswa kujadiliwa katika siku zetu ambazo Mungu katupatia pumzi.
 
Umeongea jambo ambalo sijawahi kulisoma wala kufundishwa shuleni
Kutokana na namna upembuzi wowote wa yale yalojiri miaka ile, kwa maana hostoria yake na haya tunayopitila leo ni kwamba ukweli unabakia pale pale kuhusu dhana ya "UONGOZI". Hatutatoboa milele chini ya UONGOZI usiofaa. Binafsi naweza kukiri kwamba "WATO WA MJINI' hawafai kumilikishwa mustakabali wa nyika yoyote ile. Mtu hana hata chembe ya moral outhority halafu amwongoze nani?

Sera bora, uongozo bora, ... na WATU!
 
Ila kauli za Jana alooo.. mara watoto wa kariakoo.. mara watoto wa ocean road
Mkuu nilikuwa busy na Simba na Yanga , naomba weka nyama kidogo ya zile 5Ws ili nami nipate kuelewa.
 
Uchaguzi ukifanyika watafurahishwa ,zama zimebadilika sana, mda ni mwalim mzuri
-mnapigwa tu, kanya boya wa mjini wa mjini, wa shamba wa shamba tu,
Mwl, aliwahi toa mfano wa kichupa, unapewa kichupa, almasi inaondoka!
 
Reactions: G4N
Hii ni ishara kwamba washamba (walugaluga) sasa basi!

Never and never again!
 
Yaani ni purukushani sasa shida ukiaminiwa na wanakijiji ni shida sana kila kijiwe nikipita lazima niitwe ili nifanye clarification.
Mpka anafika kazini nimesimama vituo vinne wanaomba niwaeleze uhalisia wa lile goal na CCM kuwapa watiyo wa mjini Chama.
Hapa nipo kazini ila nina mialiko minne yote inaniomba kijiweni kuna jambo nikawaeleze kwa uzuri 🤔
 
Duh...!, haya mambo ya kuanza kuitana Walugaluga...
P
Hii lugha utoto wa mjini na kuitana walugaluga ni dongo kwa mwenezi aliyemtangulia huyu 'mtoto wa mjini' ila inafikirisha sana watu kubaguana kwa ulugaluga na utoto wa mjini haina afya hata kidogo.
 
Alaa kumbe !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…