Ni kweli CCM ni chama cha watoto wa Mjini tangu kikiwa TAA kisha TANU. Walugaluga walialikwa tuu.

Mods watusaidie kupata tafsiri ya neno "mlugaluga"
 
Hizi lugha za watoto wa mjini na wa vijijini ni tambo tu na maneno kama yanayoandikwa kwenye kanga.
Kimsingi uongozi wa CCM haupatikani kwa kuzaliwa mjini au kijijini (walugaluga).
Hata hivyo, tukilinganisha wanaoitwa watoto wa kuzaliwa vijijini (walugaluga) na wa mjini, zaidi ni hao walugaluga kwa sababu wana uzoefu wa kijijini na mjini wakati wale wa mjini hawajui kijijini. Uthibitisho upo wazi (walugaluga wakipata uongozi huwapeleka puta wa mjini mpaka wanaomba po).
Utani wa jadi tu.
 
Watu wakikosa hoja za kujisifu kwa jamii, watatumia hoja za dini, kabila na makazi yao waliyozaliwa

Ila itabaki kuwa PCM ameijenga heshima mtaani kuliko mwenezi yoyote ninayomjua tangu kuanza kwa siasa za vyama vingi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Vyama vingi vilianza mwaka gani mkuu hapa Tanganyika?
 

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Waliotoa kauli hiyo hawana adabu kabisa dharau kubwa hii

Ni kweli baba wa taifa ni mLugaluga ? Mana hata yeye alitokea tabora Wala hajazaliwa kariakoo

Kariakoo ,aliwakuta akina Sykes ,wafute kauli zao kabla hatujachafukwa kujisahihisha ni busara
 
Tanzania ni kijiji tu. Sema wanakijiji wa DAR wamewazidi ujanja wanakijiji wa XXX.
 
Ila chama hakijawahi kuongozwa na mtoto wa mjini wa Kariakoo wala ocean road wala hatujahi kuwa na hata waziri mkuu mtoto wa Kariako wala ocean road na sidhani hata kama tuna waziri.
 
Walugaluga kina Lucas mwashambwa habari ndiyo hiyo,CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao watoto wa mjini nyie wa mbwinde undeni chama chenu muwaachie mabontaun chama lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ