ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
uzuri ni pamoja na akili na nguvu za nafsi alizonazo mwanamke, sasa unakaa na binti mwanzo mwisho hu gain lolote - huyo naye unamwita mrembo? ama anakusaidia tu kwa muda huo.Hamna lolote, kuna mabinti hapa mtaani kwetu wanamkimbiza mbaya... mazungu yanapenda kujipendelea tu
wanawake wate duniani hujaelewa nini hapo mkuu?? usipingane na mimi, pingana na historia.hhah mzuri kupita mke/demu wako?
we demu wako akiongea hata inzi hashituki -- ha ha ha (joking)Alikuwa na nini ambacho wanawake wa sasa hawana?
wanawake wate duniani hujaelewa nini hapo mkuu?? usipingane na mimi, pingana na historia.
Labda alikuwa na mashimo mengi, mengine yalikuwa yanatoa asali, maziwa, bia za ngano ya thamani na mashimo mengine yalikuwa yana vibrate kwa ajili ya kukamua sperm zitoke kwa wingikama alikuwa wa kawada kwa nini aingizwe kwenye historia ya ulimwengu!!
Miss natafutaCleopatra wa JF ni nani?
ha ha hanmeanza safari yaku pingana nayo mkuu
HAHAHAH,, ana mashimo mengi?!Miss natafuta
hhahha ha ha
Urembo una dhana pana, si sura tu kama sisi tunavyodhani - urembo ni pamoja na werevu, uwezo wa nguvu za nafsi, nguvu za kifedha, Nguvu ama uwezo wa kutawala (kusikilizwa) nk
Yawezekana haya ndiyo yalifanya aitwe Mrembo wa dunia ambaye hatakaa atokee tena!!
No kweli alikua mrembo hasaKleopatra inasemekana ndiye mwanamke mrembo kuliko wote kupata kutokea hapa duniani na ambaye hadi leo hakuna mwanamke anayekaribia ama kuzidi urembo wake.
Kleopatra alikuwa mtawaal wa Misri (Malkia) mwaka 66 Kabla ya Kristo; Alipokuwa na miaka 18 babake Ptolemaio XII aliaga dunia ndipo akarithi ufalme pamoja na kakaye aliyekuwa mdogo wa miaka 12.
Inasadikiwa alikuwa na urembo kupindukia, alivaa mavazi ya hariri na kupambwa na vito vya kama Almasi na Dhahabu.
Akiongea sauti yake illikuwa na nguvu ya kuwafukuza wachawi na hata washirikina. inasadikiwa kwamba hatatokea mwanamke mwingine hapa duniani mwenye urembo kama wa kwake yeye!!
View attachment 916866
Umepatia ndiyo maana huwa nakutaka japo huna chura!Miss natafuta
ndiyo maana hakuna neno Mrembo linatumika kwa mwanamume; ni tangu enzi za mababu!!hhah
lakini kwa mwanaume ukiambiwa mrembo lazma ujitafakari mara kumi
Huyu hajua kama Cleopatra ni mwafrica toka MisriHamna lolote, kuna mabinti hapa mtaani kwetu wanamkimbiza mbaya... mazungu yanapenda kujipendelea tu