Ni kweli Cleopatra, mwanamke mrembo kuliko wote duniani alikuwa wa Misri?

Hakika Creopatra aliumbika
Ukweli utabaki kuwa ukweli
Hata na nyimbo aliimbiwa.
Wafalme wa nji mbali mbali walikwemda kumuona malkia Creopata mm nimeadithiwa na mshua.
 
Hii habar bila picha haijakamilika
 
Mke wako unayeishi naye ndiyo mzuri!

Ovaaa
 
Ana uzuri gani huyu
 

Attachments

  • 1454514332841.jpg
    9 KB · Views: 119
Kuna simulizi nyingi za zamani ambazo zinamtaja Cleopatra ambaye alikuwa malkia wa Misri enzi hizo kuwa ndiye mwanamke mzuri aliyewahi kuishi duniani. Je kuna ukweli wa habari hii?
Kwa vigezo vyao pengine ni kweli lakini kwa vigezo vya dunia si kweli labda kwa utajiri ni sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…