Ni kweli Dereva alimuacha Nape akiwa Ukumbini Mlimani City baada ya kupata taarifa bosi wake ametumbuliwa?

Inasikitisha.......!
 
Kashai oyeeee!!!
 
Story za vijiweni tu hizo, anachoweza kufanya dereva ni kubadilisha plate number, siyo kumuacha
 
Huo ndio utaratibu ulivyo ndio maana mara nyingi teuzi wanafanya usiku. Mara baada ya kuteuliwa kwa kiongozi mpya na mwingine kutenguliwa, Dereva anatakiwa amtafute na aripoti kwa mteuliwa mpya.

Hiko kilimtokoea mwigula enzi za JPM alikiwa ziarani Kigoma na akatengulowa huko. Utaratibu unamtaka dereva ambebe waziri/RC/DC/DED anayetakiwa na aliyepo kwenye nafasi na sio vinginevyo.

Dereva hajakosea mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…