Yaani alitoka baruti kama Ngiri mkia juu kamuona simbaHizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je, ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Huwa wanapigiwa simu kufanya hivyo na ukikiuka na wewe waweza kupoteza ajira, huwa simchezo ukishatenguliwa, na dereva anaweza kukuvimbia hauna la kumfanya.Watanzania ni wakarimu sana, namna pekee dereva anaweza muacha Nape (kama kweli alimuacha) itakuwa hawakuwa na mahusiano mazuri ya kazini.
SahihiHuwa wanapigiwa simu kufanya hivyo na ukikiuka na wewe waweza kupoteza ajira, huwa simchezo ukishatenguliwa, na dereva anaweza kukuvimbia hauna la kumfanya.
uHizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je, ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Sio kweli udereva ni ofisi na yeye ni mkubwa kwenye ofisi yake ya udereva ndio maana hata bodaboda sasa hivi hawaitwi waendesha bodaboda wanaitwa maafisa usafirishajiDereva mtu mdogo sana
Kwani kafariki?Tumwache Nape apumzike
Wali create tatizo (Nape) halafu Wana solve tatizo hilohilo (kumuondoa Nape)Ila CCM wanajua kucheza na akili za wananchi wao sanaaaa........
Hizi taarifa zimezagaa huko mtandaoni X na kwa sababu Nape kafunga akaunti yake imeshindikana kumuuliza
Inadaiwa mara Baada ya kupata taarifa kuwa Waziri Nape ametumbuliwa Dereva wa Serikali anayemwendesha alichomoa plate number za Waziri na kuweka STK kisha akaondoa gari kwa kasi na kumuacha Nape ukumbini.
Nape alikuwa kwenye sikukuu ya kutoa Tuzo iliyoandaliwa na E FM
Je, ni Kweli?
Kwako Maranja wa Chadema X
Pia soma > Uteuzi na Utenguzi: Nape out, Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ila watu wana maneno dohh!
Kwahiyo plate no wanatembea nazo?Hawezi kufanya hivyo utaratibu haimruhusu anachotakiwa ni kuondoa plate number tu
Yes zinakuwa ndani ya gari ..Kwahiyo plate no wanatembea nazo?