Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Okay sisemi kama anakula unga ila hiyo sababu uliyoitoa ndio sababu kuu inayowafanya wasanii kula unga wa cocaine.Cocaine ni stimulant nzuri sana na inakufanya uwe na nguvu za ajabu ndio maana utakuta huu unga unatumika sana kwenye party za wazungu unasniff kidogo unaget high na nguvu unaakesha usiku mzima.

Cocaine,mirungi,exctacy(molly) aina hizi za madawa zipo kundi moja la stimulants
 
sawa coke haina shida. omba sana isitokee siku moja akaji-overdose akiwa katika depression itakayosababishwa na kuyumba kwake kiuchumi au masuala mengine.

overdose ya hayo madude haina mswalie mtume, malaika wa kifo huwa hachezi mbali.
Wasanii wengi huitumia kupata energy
 
Mhhh yaani usniff kidogo upate nguvu ya ajabu tunadanganyana. Unga kadri unavyo endelea kuutumia afya inazidi kudhoofika na kama ingekuwa hivyo kama usemavyo Whitney sauti yake ukali wake ingekuwa kama honi ya treni.

Husifanya masihala na unga,unga unadhoofisha afya na ufanisi wa kazi lazima ushuke.
 
Kiukweli Mondi anatumia Unga, inaumiza lakini ndio ukweli sijui kwanini hawajifunzi kwa wenzao, hakika umaarufu una gharama sana.

VIjana wengi wanaingia kwenye unga kwa kudanganyana kwamba ukipiga Unga Unapiga "SHOW SHOW" DRC POWDER ikasome bila kujua kwamba addiction ya MBWIMBI ni hatari.
 
Harmonuze aongeze bidii hamfikii domo hata kudigo na asidhani kwamba kwa kupika majungu ndio domo atashuka
 
Hivi mnajua 600m? Nani kati ya Jembe na huyo Hamorapa mwenye uwezo wa kuwalipa dabliyusibii 600m?
 
Kma haujaielewa albam ya harmonize wewe ni ngombe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
ile miguu alivaa pensi duh kama miwa inafanana na ya dullah makabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…