Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Twende mbele turudi nyuma konde boy kajistukia aisee.

Mi naona hakukua na haja ya povu kubwa namna hiyo ambalo kiukweli linamshusha yeye na kuonekana ana chuki kweli kweli tofauti na mwenzie ambae hajamsema moja kwa moja. Na bado hatujui mondi alimlenga nani hasa ila konde boy kaonesha wazi wazi kua anamsema boss wake wa zamank.
Kipofu tyuuh ndo hajui biffu la harmo na domo,
Dawa ya moto n moto, malipo n hapa hapa duniani,
Heko kwa konde boy.
 
Dogo hajui anachokifanya, na anaonekana kuwa na kiburi cha mafanikio, na hiki ndo kitafanya wadau wakubwa wa muziki ndani na nje ya nchi wampunguze na atabaki na wale mashabiki mtaa ambao hata show ya 10,000 tu hawamudu.

Alipaswa akae kimya ili yule mkosefu kila mtu amuone na sio kutupiana vijembe ambapo ni vigimu kidogo kusema nani anamkosea mwenzie.

Kubishana na mtu mwenye fedha ni kutafuta kujishusha kwa sababu na wewe itakubidi utumie fedha Au kidogo ulichonacho kujimwambafai.

Diamond mwenyewe kipindi hiko alikuwa amezungukwa na watu ambao walitaka kumtumia bila mafanikio na wakaanzisha bifu ila hakutoka hadharani kubishana nao
Ungekua ww umeshikwa matako hadharani ungekaa kimya? Au ndo unaongea ilimradi uonekane umetoa mawazo?
 
Unapoelekea tu takushikisha uku.ta tajiri gan?
.
giphy.gif
 
Mbon bado sana,hawa jamaa kitaumana sana na mbaya zaidi mmakonde sio kama Ali Kiba...hana dogo wala kubwa yeye jino kwa jino kwa lolote na vyovyote vile[emoji51][emoji51]
 
Diamond anatumia unga?? Mwana anakaa stejini masaa mawili anaimba na kucheza hiyo energy anaipata kwenye unga au ??
Unajua nini? Wasanii wengi wa muziki addiction ya madawa waliipata kutokana na ratiba tight ya shows. Unakuta ana mfulukizo wa shows , yale madawa wanatumia kuwa hype wawe active jukwaani, ila baada ya muda magari yanawaka. Fuatilia wasanii wengi wa huko USA kama Rick James.
 
Twende mbele turudi nyuma konde boy kajistukia aisee.

Mi naona hakukua na haja ya povu kubwa namna hiyo ambalo kiukweli linamshusha yeye na kuonekana ana chuki kweli kweli tofauti na mwenzie ambae hajamsema moja kwa moja. Na bado hatujui mondi alimlenga nani hasa ila konde boy kaonesha wazi wazi kua anamsema boss wake wa zamank.

Nimejiuliza niko slow au vipi, maana sijaona msg ya diamond kama inamsema huyo konde direct ila huyo konde kamwagika povu lote lisilo na umuhimu.a whole message of nothing na kuandika hajui. Jamaa mropokaji toka yuko wcb.
Nina wasiwasi kama hata alilipa mil 600 kweli.
 
Coke haina shida aisee, shida ni Hero
Sawa coke haina shida. omba sana isitokee siku moja akaji-overdose akiwa katika depression itakayosababishwa na kuyumba kwake kiuchumi au masuala mengine.

Overdose ya hayo madude haina mswalie mtume, malaika wa kifo huwa hachezi mbali.
 
Back
Top Bottom