Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Yani wanaija wanafanya mambo makubwa na hawapigani mafumbo ya hivi. Nahisi muda mwingine sisi ni kituko mbele ya watu wengine.
Industry yetu haijakaa vizuri Naijaa muziki wao.... uko mbali sana. Lisemwalo lipo !!
 
Nachokiona hapa inawezekana Diamond anapenda kuona ushindani ule wa yeye na ali kina ukiendelea kuja kwa harmo anaonekana kuharibu soko la biashara ya muziki tayari Kuna mgawanyiko wa wamashabiki diamond anatumia wapambe wake kumshusha harmonize
 
Nachokiona hapa inawezekana diamond anapenda kuona ushindani ule wa yeye na ali kina ukiendelea kuja kwa harmo anaonekana kuharibu soko la biashara ya muziki tayari Kuna mgawanyiko wa wamashabiki diamond anatumia wapambe wake kumshusha harmonize
Kuna jambo ujaelewa mkuu, ushindani wa Ally Kiba na Diamond haumnufaishi lolote Diamond kwa sasa,Kimtizamo naona mashabiki wa Diamond wanaona bora ashindanishwe na Ally kuliko Harmomize .
 
Wamakonde - ndani ntiti nje ntiti,,ukisimama nchale,ukikimbia nchale,,,Yani wamakonde ni wanafiki na wazandiki kiwango Cha standard gauge,kitu wanachokiweza ni kuchonga vinyago.
 
Reactions: Qwy
Dah kama Sky Walker vile!!Hongera mkuu
 
Ok unauhakika gani kwamba dimond Hasniff unga ila anatumia dawa kama unazotaka wewe!?
Kwani kuna sehemu nimemuongelea Diamond anatumia nini ?

Mimi nimeelezea maana ya Protein powder, nimemjibu aliyekuwa anauliza kama wanaotumia protein powder na unga (cocaine) wapo sawa ?

Au umekurupuka tu na kurukia jibu langu ?
 
We ushawahi kumuona akitumia hiyo mihadarati??

Tatizo wabongo mnapenda kumpaka mtu aifa mbaya mbaya tu hata kama ana nzuri kibao. Na hao watu wengine wanakuaje influenced kwa tetesi tu kua anatumia wakati hata hawajawahi kumuona akitumia au yeye kusema anatumia.??
 
Dogo anajistukia sana aisee.
 
Yah wengi ni maigizo yani life style yao inawaponza maana mwisho wa siku hawataki kukubaliana na hali ndo kujiingiza kwny kutumia dawa za kulevya au kuvuta mabangi
Hata rose mhando na r.c. walianza kwa kukana ikawa kweli, na yule mamamangu mamanguu wa kizazi kile cha bange naye aliaharibikia nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…