THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Industry yetu haijakaa vizuri Naijaa muziki wao.... uko mbali sana. Lisemwalo lipo !!Yani wanaija wanafanya mambo makubwa na hawapigani mafumbo ya hivi. Nahisi muda mwingine sisi ni kituko mbele ya watu wengine.