Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Acha tu ndgu mpaka unashangaa kua wabongo ndo tumekosa reasoning namna hii. Mtu hana source ya habari ni hisia zake tu, ila unakuta jamaa anasema mbona mange alisema hivi [emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
'Mbona da Mange kasema', kwao hiyo inajitosheleza kabisa.
 
Shida ya wabongo wengi ni source ya habari zao, eti Mange Kathibitisha hahaha na kwamba kwa akili yako ya kawaida Diamond na Mange wanaweza wakakaa meza moja na kuzungumza Amani?

Niliacha kuwa mpumbavu kwa kuacha kufuatilia Mange Kimambi anasema nini?

Halafu msisahau Diamond hakuna vita ashawahi kupoteza tangu anaanza mziki wake baada ya kila media kuacha kusuport kazi zake na leo hii yupo wapi?

Na Mange alivyo mjanja anazidi kula pesa za wapumbavu, na wala hawezi kuacha kusuport upumbavu wa aina hiyo ktk app yake coz anawajua wabongo walivyo
 
kwa sisi wazoefu, ukimtazana diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.

ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.
Matajiri wengi wanatumia vilevi vilivyokatazwa. Nimewaona wengi ukimzoea unamjua hata wafanyakazi wake wanajua unasikia boss ashatia vitu vyake
 
Yani picha za Instagram zinatudanganya sana nilimuona Dimond live nilisikitika kabisa aiseee. Na Harmonise ndo akivaa kaptura ana makovu kama alipigana world war. Ila ndo hivyo hivyo vitu ni too personal
 
Sidhani kama kuna haja yakujuana fact ni kuwa kama ndugu yake anatumia kuna uwezekano mkubwa na yeye kutumia ofcourse kwa mob iliyokuwepo pale ni circle ya Diamond pia...

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mwaka jana kuna video ilitrend insta diamond akiwa wasafi fiesta ,yuko stejini ,ni kama alisizi kabisa
 
Mwimbaji Harmonize amemjibu bosi wake wa zamani Diamond Platnumz baada ya kumdhihaki kwa njia isiyo ya moja kwa moja kufuatia onyesho la Rayavvny kwenye MTV EMAs 2021.

Chibu Dangote alitumia mitandao ya kijamii kumpongeza Rayvanny kwa mafanikio makubwa lakini wakati huohuo alimtupia makombora Harmonize kwa kutokuwa na shukrani.

"#MTVEMA @rayvanny Chui 🐅 👑.... Niwakumbusha Msanii wa Kwanza Africa Kuperform MTVEMA anatokea Tanzania, Mkoa wa Wasafi na sasa ni Raisi wa Next Level Mh @rayvanny ... Vijana wenzangu Tujifunzeni Kuwa na Nidhamu na Fadhila ili Sanaa zetu zitufikishe mbali zaidi na tusiishie kwenye Mihadarati....🐅," Aliandika Diamond.



Hata hivyo, katika kujibu kwa haraka, Harmonize alijiburudisha na baadhi ya chini ya mkanda, akimshutumu Platnumz kuwa na uchungu kila mara anaposhindwa kushinda tuzo.

Harmonize aliendelea kudai kuwa Chibu Dangote anatumia dawa kali kinyume na yeye anayevuta sigara pekee.

Pia alisisitiza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa WCB huwa ananunua tuzo zake.

"Vijana Nivyema kujifunza ukimsaidia mtu sio lazima umdai fadhila.Maana kama ndio hivyo basi Tanzania yote inanidai. Pia ukishapokea mamillion ya shilling 600m ukishavutia unga yakiwa yanakaribia kuisha ni vyema kuyauliza au kutadai fadhila

Pia Vijana jitahidini kutofautisha kipi ni hatari katio ya mihadarati na huo unga unao kukondesha," Harmonize alisema.

unnamed.png


Alizidi na ujumbe wake;

"Vijana jitahidini kitofautisha kati ya wewe mwenye miaka 111 na wewe mwenye miaka 6, umefika wapi maana baar zilezile kicheni

Pati ni zile zile huku USA,licha ya kuvimba kote mkiwa jiji la mama Samia, vijana ni vyema kuendelea kuwalipa wakina mama Levowaendelee kutukana watu unaotaka wakuheshimu huku ukiamini watakufa kimziki

Bila kujua unawalipia promotion, vijana jifunze kupost msanii wako akitoa wimbo sio kuumia kwa kutolewa kwenye collabo na sio kutafuta pa kutokea kupitia kijana mwenzio sio vizuri kaka."


unnamed (1).png


unnamed (1).jpg
 
Dogo hajui anachokifanya, na anaonekana kuwa na kiburi cha mafanikio, na hiki ndo kitafanya wadau wakubwa wa muziki ndani na nje ya nchi wampunguze na atabaki na wale mashabiki mtaa ambao hata show ya 10,000 tu hawamudu.

Alipaswa akae kimya ili yule mkosefu kila mtu amuone na sio kutupiana vijembe ambapo ni vigimu kidogo kusema nani anamkosea mwenzie.

Kubishana na mtu mwenye fedha ni kutafuta kujishusha kwa sababu na wewe itakubidi utumie fedha Au kidogo ulichonacho kujimwambafai.

Diamond mwenyewe kipindi hiko alikuwa amezungukwa na watu ambao walitaka kumtumia bila mafanikio na wakaanzisha bifu ila hakutoka hadharani kubishana nao
 
Back
Top Bottom