Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati.

Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?


Hilo ninswali au jibu?
 
kila mtanzania anakula unga kama sio sembe donna zamani tulitumia unga uliitwa yanga wa njano sasa wewe tuambie ni unga upi wa mahindi ngano mtama muhogo au wa soya?
 
Back
Top Bottom