Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Jibu swali anatumia sembe au hatumii?? Vinginevyo nyie ndiyo walee enzi hizo teacher kwenye mtihani anatoa maswali 20 yote rahisi sana but mtego uko kwenye instructions "read all the questions carefully BUT DON'T ANSWER ANY QUESTIONS, JUST write down your name and when the time is up submit your papers"...
Shule gani iyo?
 
Harmonize ajifunze kuandika, jamaa ana uandishi m'bovu sana.

Hata katika captions zake kwenye mitandao ya kijamii uandishi wake wa ajabu ajabu.

Bado ana element za kishamba.

Mwanaume umeshatoka na kuamua kujitafutia ya nini kuanza kufuatana na mwanaume mwenzio kukesha kuandikiana upuuzi.

Suala la mtu kutumia unga ni starehe yake kama zilivyo starehe zingine kuanza kufuatiliana kuandikiana kwa status na insta story huu ni utoto.

Mwanaume kuwa na element za kike kutupiana maneno siyo ishara nzuri hata kidogo.

Zaidi ya yote ajifunze kuandika na amtafute Ras Simba amnoe kidogo lugha ya malkia ambayo nayo anavuruga sana.
Ulioona Post ya Diamond alivyomkebehi Harmo baada ya Rayvan KU perform zile tuzo?
 
KUNA MTU ALIDHANI KWAMBA AKITOKA WCB NA KUANZISHA LEBO YAKE ATAKUWA TAJIRI KAMA MWENZIE,KUENDESHA LEBO SIO KAMA KUENDESHA SHAMBA LA KOROSHO NA USIONE MTU ANAFANYA HIVI UKAJUA NA WEWE UTAWEZA,LAZIMA UDATE

KUNA MTU ALITOA ALBUM KARIBUNI AMBAYO KWA NAMNA MOJA NA NYINGINE HAIJAFANYA POA KABISA KATIKA SOKO LA KIDIJITARI YANI DIGITAL PLATFORMS.MWISHO WA SIKU ANAANZA KUTAFUTA KIKI

HAKUNA KITU KINAUMA KAMA KUMSEMA MTU AMBAYE HAKUJIBU,INAUMIZA SANA
Team Diamond baba yenu ndiyo aliyelianzisha
 
Huyo konde ni mataqo tu. Amesema unga mataqo wengine wakadhani madawa, Mond anatumia protein powder. Kwa tunaojua ukitumia hiyo kitu lazima ufanye mazoezi sana ili kutengeneza mwili uwe na mwonekano bomba.

Angekuwa anatumia huo unga mnaoudhania asingeweza kufanya shows kila mara. Lakini PP inampa nguvu sana ndio sababu huyo konde taqo hawezi simama muda mrefu stagen ni mond
Utakuwa una katwa ukungu na diamond
 
Sorry Kuna tofauti gani Kati ya
protein powder na hiyo unga!??

Huku tukirefer shows za:-

Dmx.

Whitney Houston.(R.I.P)



Huyo konde ni mataqo tu. Amesema unga mataqo wengine wakadhani madawa, Mond anatumia protein powder. Kwa tunaojua ukitumia hiyo kitu lazima ufanye mazoezi sana ili kutengeneza mwili uwe na mwonekano bomba.

Angekuwa anatumia huo unga mnaoudhania asingeweza kufanya shows kila mara. Lakini PP inampa nguvu sana ndio sababu huyo konde taqo hawezi simama muda mrefu stagen ni mond
 
Ila tuwe wakweli Harmo anampigaga sana vijembe Dai hata kwenye nyimbo zake..kama Dai amejibu au ameongea recently ni sababu kachoka. Amekaa kimya muda mrefu sana huo ndio ukweli.

Sasa labda Harmo kaumia zaidi ndo povu lote hilo limemtoka..mi nahisi huyu alikuwa anatafuta sababu ajibiwe ili afunguke yaliyokuwa moyoni mwake[emoji119]
Mmakonde kajistukia tu, Diamond kasema vijana wenzangu tujifunze kua na NIDHAM na FADHILA sanaa zetu zikue tusiishie kwenye MIHADARATI. Tembo kahisi kasemwa yeye katoa bonge la povu
 
Sorry Kuna tofauti gani Kati ya
protein powder na hiyo unga!??

Huku tukirefer shows za:-

Dmx.

Whitney Houston.(R.I.P)
Mkuu protein powder ni vyakula mbali mbali vyenye protein vimesagwa pamoja na kuwa unga. Watu wengi wanaofanya mazoezì ya kujenga mwili hutumia kwani ni rahisi kuliko kununua vyakula vyenyewe na kuvipika.

Hiyo NGADA ni madawa ya kulevya kama sikosei ambayo hata mimi sijawahi kuyaona japo nasikia ukitumia unalewa. Hiyo powder nimeiona sana na wanangu waliokuwa wakitaka kujaza vifua na miili yao kirahisi wameitumia sana.
 
Back
Top Bottom