Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata mi niliwahi kupewa hizi za jikoni, kuwa jamaa anakula unga....maisha yake,kayachagua kwa pesa zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 Acha kabisa mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
'Mbona da Mange kasema', kwao hiyo inajitosheleza kabisa.
Unaongea zilipendwa mzeeDogo hajui anachokifanya, na anaonekana kuwa na kiburi cha mafanikio, na hiki ndo kitafanya wadau wakubwa wa muziki ndani na nje ya nchi wampunguze na atabaki na wale mashabiki mtaa ambao hata show ya 10,000 tu hawamudu.
Alipaswa akae kimya ili yule mkosefu kila mtu amuone na sio kutupiana vijembe ambapo ni vigimu kidogo kusema nani anamkosea mwenzie.
Kubishana na mtu mwenye fedha ni kutafuta kujishusha kwa sababu na wewe itakubidi utumie fedha Au kidogo ulichonacho kujimwambafai.
Diamond mwenyewe kipindi hiko alikuwa amezungukwa na watu ambao walitaka kumtumia bila mafanikio na wakaanzisha bifu ila hakutoka hadharani kubishana nao
Hapana mimi sio nyumbu mkuu.Kwa hiyo na wewe nyumbu?
Coke haina shida aisee, shida ni HeroKwa sisi wazoefu, ukimtazana Diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.
Ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.
alisema lemutuz anakazwa ,Sasa imegine mzee kama yule ainamishwe? Mage sometimes ni chizi😂😂😂 Acha kabisa mkuu.
Just imagine "da mange" akisema fulani ni shoga basi wanaamini hata bila kuangalia kua huyo mtu na huyo mange wana ugomvi au lah ila si "da mange kasema" 😂😂
Mkuu protein powder ni vyakula mbali mbali vyenye protein vimesagwa pamoja na kuwa unga. Watu wengi wanaofanya mazoezì ya kujenga mwili hutumia kwani ni rahisi kuliko kununua vyakula vyenyewe na kuvipika.
Hiyo NGADA ni madawa ya kulevya kama sikosei ambayo hata mimi sijawahi kuyaona japo nasikia ukitumia unalewa. Hiyo powder nimeiona sana na wanangu waliokuwa wakitaka kujaza vifua na miili yao kirahisi wameitumia sana.
diamond alijiona boss na kujisahau Sasa hivi madogo wengi wanamkimbiza kimziki ila siyo hela .Unaongea zilipendwa mzee
Kumlipisha mtu ml600 ni kumkomoa ili afeli
Kakulipa ilibidi uwe mpole na umuheshimu
Ni kama mlimalizana kwenye hiyo mia sita ungekuwa gantle ungemuacha bila kumlipisha kwani lebo wametengeneza faida ngapi kupitia hamo yeye mwenyewe hamo anamchango wake pale wcb
Siku hizi mambo ni tofauti ukiwa na kipaji we ni bosi siyo kutuambia watu wanyenyekee wengine bila sababu za msingi kisa nini
Kinachotakiwa ni kuimba ngoma kali tu basi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yaani ni hivi mkuu, watu wanawaamini zaidi wale watu wanaoamini kama wao hata kama wote wamepotoka.Nchi hii ina vichwa vya kuku balaa, usipime walivyomwabudu kimti aka kigogo
Mi najua ni mbebaji zile trip za kwa madiba zimempa sana elaKaanza kutumia lini??..Kipindi kile wakina Rommy wanakamatwa na yeye alikuwa anatumia??
Ndo ivo full kuchafuana tuu.alisema lemutuz anakazwa ,Sasa imegine mzee kama yule ainamishwe? Mage sometimes ni chizi
Sawa unyenyekevu hauna Maana ila walikwepo wengi tu wenye vipaji ila unyenyekevu sifuri naleo hawali matunda ya kazi zao.Unaongea zilipendwa mzee
Kumlipisha mtu ml600 ni kumkomoa ili afeli
Kakulipa ilibidi uwe mpole na umuheshimu
Ni kama mlimalizana kwenye hiyo mia sita ungekuwa gantle ungemuacha bila kumlipisha kwani lebo wametengeneza faida ngapi kupitia hamo yeye mwenyewe hamo anamchango wake pale wcb
Siku hizi mambo ni tofauti ukiwa na kipaji we ni bosi siyo kutuambia watu wanyenyekee wengine bila sababu za msingi kisa nini
Kinachotakiwa ni kuimba ngoma kali tu basi
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app