[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu ndgu mpaka unashangaa kua wabongo ndo tumekosa reasoning namna hii. Mtu hana source ya habari ni hisia zake tu, ila unakuta jamaa anasema mbona mange alisema hivi [emoji23][emoji23].
Kuna graduates wengi hata kuandika hawajui mkuu.Kwani muandiko mzuri unaliwa? Kama muandiko mzuri ungekuwa dili graduates wasingesaga soli kitaa na vyeti vyao...
Matajiri wengi wanatumia vilevi vilivyokatazwa. Nimewaona wengi ukimzoea unamjua hata wafanyakazi wake wanajua unasikia boss ashatia vitu vyakekwa sisi wazoefu, ukimtazana diamond, haraka sana unajua jamaa ana snort cocaine. hilo halina ubishi.
ila nahisi atakuwa anatumia coc grade A, ile anayotumia tajiri fulani kijana aliyewekeza kwenye timu ya mpira wa miguu.
Mwaka jana kuna video ilitrend insta diamond akiwa wasafi fiesta ,yuko stejini ,ni kama alisizi kabisaSidhani kama kuna haja yakujuana fact ni kuwa kama ndugu yake anatumia kuna uwezekano mkubwa na yeye kutumia ofcourse kwa mob iliyokuwepo pale ni circle ya Diamond pia...
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Diamond hatumii unga...sema anakunywa sana pombe siku hizi.mwaka jana kuna video ilitrend insta diamond akiwa wasafi fiesta ,yuko stejini ,ni kama alisizi kabisa
Labda pombe maana unga kwa sisi waafrica mtu asingeweza ku manage lebo kubwa na media kama ni mtumiaji wa ungaDiamond hatumii unga...sema anakunywa sana pombe siku hizi.
Je anachofanya Harmonize ni sawa?Mi naona Ni fresh tu,ukitupa mawe ukiwa unaishi kwny nyumba ya vioo matokeo yake ndio kama hayo Sasa.
Wachapane ngumi sioKuweni Kama Tyson mdamwingine mnazichapa kavu ,kutaneni kitaa bila mabaunsa wenu
Ma naona Ni sawa tu mkuu, waswahili wanasemaga 'ukijifanya unajua hili nao wanajua lile khs wewe'Je anachofanya Harmonize ni sawa?
Hela na uswahili_ equal to "fedha za kiswahili"Je anachofanya Harmonize ni sawa?